Tujifunze kuficha siri za majumbani mwetu


Heshima kwako Nyamayao.

Nakubaliana na wewe kabisa kuna mambo mengine kukaa kimya huwezi hata kidogo.Kuna binti tulisomanae ndoa yake ilivunjika miaka minne iliyopita nilipomuuliza sababu akaniambia aliyekuwa mumewe alikuwa anapenda kufanya naye mapenzi kinyume na maumbile !!!!!!
.


yaani cjui tunaelekea wapi.
 
Wanandoawengi wanaotoa siri za ndani ya nyumba zao kwa watu wengine ni kwa sababu ya kukosa kazi za kufanya. Binadamu ukiwa serious na maisha ya kutafuta, asilani huwezi kuhangaika kuyatoa ya ndani kuyapeleka kusiko. Utapata wapi muda huo wa kukaa na watu vijiweni? Haya mambo hutokea kwa wadada wale ambao kila juma wao ni safari za kichen pati tu.Tufanyeni kazi ndugu, tuwe bize kwa maendeleo ya familia zetu.

Pia tukumbuke kuwa mtu wa kwanza kutatua tatizo linalokukabili ni mwenzi wako wa ndoa. haijalishi hata kama ni yeye aliyesababisha, sema nae!!
 
Pretty mbona unatuchanganya sana. Kuna wakati unasema umeolewa sasa hapa unasema ngoja uingie ndoani uone. Which is which? Ntaanza kukutilia mashaka huenda wewe ni HE!


halllllloooooooooooo naona leo umetumwa kukagua HE & SHE
 
Ma2 100,ulishawahi kuwa mshauri nasaha kule kijijini? yaani nakuhitaji uje utoe darasa nyumbani kwani siku moja naamini utaboresha na kunusuru ndoana yangu,una akili sana ulisoma darasa moja na mwalimu nini? nitakuandalia muhadhara wa nyumbani please ulifikiri nini hasa?
 
Pretty mbona unatuchanganya sana. Kuna wakati unasema umeolewa sasa hapa unasema ngoja uingie ndoani uone. Which is which? Ntaanza kukutilia mashaka huenda wewe ni HE!

Mimi bado sijaingia ndoani, ila nina mpango wa kujijoin.
Soon nitawaalika wapwa na mabinadamu kutoa wosia wenu.

Wala usitie mashaka mimi ni she, and I'm very proud kwa kuumbwa mwanamke.
 
Back
Top Bottom