Tujifunze kuchangamkia fursa za kimataifa kutoka kwa Wakenya

Hute

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,537
6,463
Nimeikuta sehemu, wenzetu wamechangamka kweli kwenye biashara, hauwezi kuta kitu kama hii nchini kwao only in bongo.

Sisemi kwamba wanyang'anywe, lakini tujifunze toka kwao.

kenya-airports-jpg.452141
 

Attachments

  • kenya airports.jpg
    kenya airports.jpg
    46.7 KB · Views: 54
sioni kama ni utata kama modereta alivyorekebisha, ila lengo ni kujifunza kuchangamkia fursa kama wenzetu walivyo.
 
Back
Top Bottom