Tujifunze Kitu Kutoka Kwa Spiderman wa Bongo

utaruhusu watoto wako watikise matako barabarani kisa wanajitafutia kipato, kuwa serious kijana
 
Watoto wataharibika kwakuwa wataiga mambo anayofanya, na ni kwasababu wanampenda spider man.

Ni hatare sana kwa watoto wetu huyu jamaa
Ila yule spider man wa ulaya hawamuigi sio!??

Wabongo pungezeni husdaa!!! Choyoo!! Chuki na Unaa.
 
Hivi wewe umeiona video yake moja tu ama??
Kina bella huwa wanakata mauno nyimbo za khadija kopa na taarabu nyingine??
Acha kutetea upuuzi ww, hivi kijana wako wa kiume akiwa anafanya vile utafurahia??
Yule dogo ana chembechembe za ushoga, mwanaume kamili kabisa huwezi kufanya uharo ule hata kujaribu tu huwezi.

Yani unatutikisia vimatako vyako wanaume kabisaa!??
Na kitu usichokijua sasa yule dogo pale anatafuta followers insta wala sio kweli kua anauza sijui matunda sijui anatembeza nini yote ile ni njia ya kusaka followers wajinga wajinga.
Na bahati mbaya kwa familia ya mleta uzi na nzuri kwa spider wa bongo ashampata mleta uzi tayari.
 
Kuwa shoga siyo lazima ushiriki ngono za jinsia moja,vitendo na mavazi vinaashiria ushoga,mfano Joti huwa anatengeneza matangazo ya Tv akiwa na manguo ya kike,ule ni ushoga pia.
 
Kwanini mna mnasibisha na Ushoga? Alisema yeye ni shoga au kisa anakata viuno ndio kishakua shoga?

Joti vipi na yeye Shoga??? Wale dancers wa band nao Mashoga??
Hao wote uliowataja wanaviashiria vya ushoga,ukivaa nguo chafu unakuwa mchafu hata kama wewe unatabia za kuwa msafi. Mwanaume kukata viuono hadharani ni ushoga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…