Tujifunge mkanda dhidi ya nchi za Magharibi

mwanamichakato

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2015
Posts
1,208
Reaction score
1,109
Nikikumbuka biashara ya utumwa na jinsi gani ndugu zetu,jamaa zetu,makabila yetu walivyoteswa ;dhalilika'nyanyaswa'uwawa....,Nikikumbuka ukoloni ulivyodidimiza maendeleo ya nchi nyingi za inayoitwa dunia ya tatu au nchi maskini duniani..nikikumbuka vuguvugu la kudai uhuru na jinsi ndugu zetu/babu zetu walivyopinga/pata vikwazo/fungwa...

Nchi nyingi za kiafrika zinapita katika mapito makubwa kuekelea kupata maendeleo makubwa kijamii,kiuchumi na kisayansi..Mataifa yenye kuidoea Africa huku Tanzania ikiwa moja ya nchi lengwa hayafurahii na hayatakaa yafurahie kuona nchi hizi zikiendelea na kuacha kuwa tegemezi wa misaada ya vyandarua vyenye dawa,dawa za kusafisha maji,sindano za kinga ya pepopunda,tohara,vilainishi,etc etc..

Misimamo thabiti ya viongozi wetu ni kitu kisichotegemewa na mataifa yenye njaa ya unyonyaji ,ukwapuaji rasilimali,utekaji wa uhuru,haki,umoja ili kufanikisha kiu ya wizi wa rasilimali mafuta,madini,gas,vito,maji,n.k...Wapo tayari kufadhiri makundi wanayoyatengeneza kati yetu kwa kutugawa kwa misingi ya itikadi za vyama/dini /ukabila pasipo sisi kujua kwamba twatumika kwa faida ya mataifa husika yenye uroho wa rasilimali..

Sitoshangaa kuona tunapingwa kila kona,sitoshangaa kuona hukumu nyingi za kutukandamiza,sitoshangaa tukiwekewa vikwazo kama vya kwa Mugabe,Gaddafi,...,Sitoshangaa kuona hujuma dhidi ya uchumi wetu,Hujuma dhidi ya Sarafu yetu..Umoja wetu ni kitu muhimu sana katika wakati huu na tuendako..yatupasa kuweka itikadi zetu pembeni,yatupasa kuweka chuki zetu pembeni,yatupasa kuweka kiu zetu za madaraka pambeni huku uzalendo na maslahi mapana ya taifa yakiwekwa mbele zaidi.

Tuitetee Nchi,Tuinenee mema nchi yetu,Tukatae Kuivua Nguo Nchi Yetu,Tuisitiri nchi yetu,Tuhubiri habari njema dhidi ya taifa letu...Tanzania ni mali yetu na vizazi vijavyo.
 
Ni wewe tu unaiona nchi ni yetu ila wengi na haswa watawala wanaiona ni yao. Ndo maana mikataba ni feki kwani wanachukua chao mapema mengine mbona hadithi. Madini yalijilalia huko ardhini raha mustarehe bila kusumbua watu. Leo wameletwa wawekezwaji kuja chimbua ardhi na kuipeleka kwao?? Tulimpa mpaka ardhi wala si madini tu?? Hatutakaa tujinasue kwenye makucha ya hao watu kwa kizazi hiki.
 
Anza kujifunga wewe, ila kuwa makini usije ukajifunga mkanda wa jeshi
 
tumechoka kujifunga mkanda, wewe unataka tuzidi kujifunga tu, membe alisema Tanzania sio kijiji
 
Mnavuruga demokrasia halafu mataifa ya Magharibi yanapoingilia kati ili kuokoa wanyonge, mnakuja kutushauri tujifunge mkanda. Ujifunge na nani wakati tunaoathirika na sheria kandamizi ya mitandao ni sisi unaotushauri tujifunge mkanda? Kama mbwai na iwe mbwai, waache wamarekani watutie adabu kwa ukandamizaji wa watawala dhidi yetu walala hoi.
 
Tujifunge kwa lipi mkuu....? Kwa uliyo andika sioni... viongozi wetu wawe na busara zaidi wakiwa madarakani na isiwe kama Jenerali Ulimwengu alivo sema " tatizo viongozi wetu wanapata busara wakisha toka madarakani"....
 
Ufisadi wa Trilioni za pesa za walipa kodi nchini ununuzi wa Rada, EPA, Richmond/Dowans, escrow, IPTL, MV ufisadi, ukwapuzi wa nyumba za Serikali etc haukufanywa na mataifa ya nchi za nje bali ni Watanzania wenzetu na hadi hii leo wanaendelea kukingiana vifua kwenye maovu yao mbali mbali dhidi ya nchi yetu. Tuanze na kuwanyooshea vidole hawa wahuni na mafisadi nchini kwanza kabla ya kulaumu mataifa ya nje.

Nikikumbuka biashara ya utumwa na jinsi gani ndugu zetu,jamaa zetu,makabila yetu walivyoteswa ;dhalilika'nyanyaswa'uwawa....,Nikikumbuka ukoloni ulivyodidimiza maendeleo ya nchi nyingi za inayoitwa dunia ya tatu au nchi maskini duniani..nikikumbuka vuguvugu la kudai uhuru na jinsi ndugu zetu/babu zetu walivyopinga/pata vikwazo/fungwa...

Nchi nyingi za kiafrika zinapita katika mapito makubwa kuekelea kupata maendeleo makubwa kijamii,kiuchumi na kisayansi..Mataifa yenye kuidoea Africa huku Tanzania ikiwa moja ya nchi lengwa hayafurahii na hayatakaa yafurahie kuona nchi hizi zikiendelea na kuacha kuwa tegemezi wa misaada ya vyandarua vyenye dawa,dawa za kusafisha maji,sindano za kinga ya pepopunda,tohara,vilainishi,etc etc..

Misimamo thabiti ya viongozi wetu ni kitu kisichotegemewa na mataifa yenye njaa ya unyonyaji ,ukwapuaji rasilimali,utekaji wa uhuru,haki,umoja ili kufanikisha kiu ya wizi wa rasilimali mafuta,madini,gas,vito,maji,n.k...Wapo tayari kufadhiri makundi wanayoyatengeneza kati yetu kwa kutugawa kwa misingi ya itikadi za vyama/dini /ukabila pasipo sisi kujua kwamba twatumika kwa faida ya mataifa husika yenye uroho wa rasilimali..

Sitoshangaa kuona tunapingwa kila kona,sitoshangaa kuona hukumu nyingi za kutukandamiza,sitoshangaa tukiwekewa vikwazo kama vya kwa Mugabe,Gaddafi,...,Sitoshangaa kuona hujuma dhidi ya uchumi wetu,Hujuma dhidi ya Sarafu yetu..Umoja wetu ni kitu muhimu sana katika wakati huu na tuendako..yatupasa kuweka itikadi zetu pembeni,yatupasa kuweka chuki zetu pembeni,yatupasa kuweka kiu zetu za madaraka pambeni huku uzalendo na maslahi mapana ya taifa yakiwekwa mbele zaidi.

Tuitetee Nchi,Tuinenee mema nchi yetu,Tukatae Kuivua Nguo Nchi Yetu,Tuisitiri nchi yetu,Tuhubiri habari njema dhidi ya taifa letu...Tanzania ni mali yetu na vizazi vijavyo.
 
Nikikumbuka biashara ya utumwa na jinsi gani ndugu zetu,jamaa zetu,makabila yetu walivyoteswa ;dhalilika'nyanyaswa'uwawa....,Nikikumbuka ukoloni ulivyodidimiza maendeleo ya nchi nyingi za inayoitwa dunia ya tatu au nchi maskini duniani..nikikumbuka vuguvugu la kudai uhuru na jinsi ndugu zetu/babu zetu walivyopinga/pata vikwazo/fungwa...

Nchi nyingi za kiafrika zinapita katika mapito makubwa kuekelea kupata maendeleo makubwa kijamii,kiuchumi na kisayansi..Mataifa yenye kuidoea Africa huku Tanzania ikiwa moja ya nchi lengwa hayafurahii na hayatakaa yafurahie kuona nchi hizi zikiendelea na kuacha kuwa tegemezi wa misaada ya vyandarua vyenye dawa,dawa za kusafisha maji,sindano za kinga ya pepopunda,tohara,vilainishi,etc etc..

Misimamo thabiti ya viongozi wetu ni kitu kisichotegemewa na mataifa yenye njaa ya unyonyaji ,ukwapuaji rasilimali,utekaji wa uhuru,haki,umoja ili kufanikisha kiu ya wizi wa rasilimali mafuta,madini,gas,vito,maji,n.k...Wapo tayari kufadhiri makundi wanayoyatengeneza kati yetu kwa kutugawa kwa misingi ya itikadi za vyama/dini /ukabila pasipo sisi kujua kwamba twatumika kwa faida ya mataifa husika yenye uroho wa rasilimali..

Sitoshangaa kuona tunapingwa kila kona,sitoshangaa kuona hukumu nyingi za kutukandamiza,sitoshangaa tukiwekewa vikwazo kama vya kwa Mugabe,Gaddafi,...,Sitoshangaa kuona hujuma dhidi ya uchumi wetu,Hujuma dhidi ya Sarafu yetu..Umoja wetu ni kitu muhimu sana katika wakati huu na tuendako..yatupasa kuweka itikadi zetu pembeni,yatupasa kuweka chuki zetu pembeni,yatupasa kuweka kiu zetu za madaraka pambeni huku uzalendo na maslahi mapana ya taifa yakiwekwa mbele zaidi.

Tuitetee Nchi,Tuinenee mema nchi yetu,Tukatae Kuivua Nguo Nchi Yetu,Tuisitiri nchi yetu,Tuhubiri habari njema dhidi ya taifa letu...Tanzania ni mali yetu na vizazi vijavyo.
Hutaeleweka, watu wameamua kuungana na wezi kuishambulia kila nia njema
 
Hivi Kumbe mkikaziwa Inawauma eenh? Hayo maumivu mnayoyapata sasa wenzenu tunayapita kila baada ya uchaguzi... Acha tusomeshwe namba wote kwa pamoja sasa.
 
Ni kawaida madikiteta (waliokomaa na uchwara) wa Afrika kutumia propoganda dhidi ya Wamagharibi (wazungu) ili kutimiza malengo yao ya kidikteta. Mfano mzuri ni Ankel Mugabe. Huyu alifikia hata kugonganisha Wazimbabwe weusi vs. Wazimbabwe weupe alimradi aendelee kuwa madarakani. Huwa wanafanikiwa sana kwa sababu hutumia mtaji wa 'ujinga' (ignorance) ya watu wao ambao huhakikisha ujinga huo unadumu.
Dunia ya leo sio ya miaka ya 70 au 80. Ukiwa mtawala na ukakandamiza watu wako, jumuiya ya kimataifa haiwezi kukaa kimya eti kwa vile mko nchi huru. Watajaribu kwa njia mbalimbali kuwasemea wale wasio na sauti. Dunia imekuwa kijiji.
 
Mkuu tumemaliza matundu ya mkanda.Unataka tutoboe tundu lingine wakati viuno vyetu ni vikubwa.
 
Nikikumbuka biashara ya utumwa na jinsi gani ndugu zetu,jamaa zetu,makabila yetu walivyoteswa ;dhalilika'nyanyaswa'uwawa....,Nikikumbuka ukoloni ulivyodidimiza maendeleo ya nchi nyingi za inayoitwa dunia ya tatu au nchi maskini duniani..nikikumbuka vuguvugu la kudai uhuru na jinsi ndugu zetu/babu zetu walivyopinga/pata vikwazo/fungwa...

Nchi nyingi za kiafrika zinapita katika mapito makubwa kuekelea kupata maendeleo makubwa kijamii,kiuchumi na kisayansi..Mataifa yenye kuidoea Africa huku Tanzania ikiwa moja ya nchi lengwa hayafurahii na hayatakaa yafurahie kuona nchi hizi zikiendelea na kuacha kuwa tegemezi wa misaada ya vyandarua vyenye dawa,dawa za kusafisha maji,sindano za kinga ya pepopunda,tohara,vilainishi,etc etc..

Misimamo thabiti ya viongozi wetu ni kitu kisichotegemewa na mataifa yenye njaa ya unyonyaji ,ukwapuaji rasilimali,utekaji wa uhuru,haki,umoja ili kufanikisha kiu ya wizi wa rasilimali mafuta,madini,gas,vito,maji,n.k...Wapo tayari kufadhiri makundi wanayoyatengeneza kati yetu kwa kutugawa kwa misingi ya itikadi za vyama/dini /ukabila pasipo sisi kujua kwamba twatumika kwa faida ya mataifa husika yenye uroho wa rasilimali..

Sitoshangaa kuona tunapingwa kila kona,sitoshangaa kuona hukumu nyingi za kutukandamiza,sitoshangaa tukiwekewa vikwazo kama vya kwa Mugabe,Gaddafi,...,Sitoshangaa kuona hujuma dhidi ya uchumi wetu,Hujuma dhidi ya Sarafu yetu..Umoja wetu ni kitu muhimu sana katika wakati huu na tuendako..yatupasa kuweka itikadi zetu pembeni,yatupasa kuweka chuki zetu pembeni,yatupasa kuweka kiu zetu za madaraka pambeni huku uzalendo na maslahi mapana ya taifa yakiwekwa mbele zaidi.

Tuitetee Nchi,Tuinenee mema nchi yetu,Tukatae Kuivua Nguo Nchi Yetu,Tuisitiri nchi yetu,Tuhubiri habari njema dhidi ya taifa letu...Tanzania ni mali yetu na vizazi vijavyo.
Ukweli ukizihiri uongo hujitenga mbona hukulisema lile la dhulma lililofanyika kule Zanzibar na kuwanyanganya wazanzibar ushindi Wao wa octobar 25-2015
 
DONALD TRUMP IS COMING TO RULE AFRICA
 
Nikikumbuka biashara ya utumwa na jinsi gani ndugu zetu,jamaa zetu,makabila yetu walivyoteswa
UPEO WAKO NI WA KIPEKEE KABISA KUPATA KUUONA HAPA JF,BRO MAWAZO YAKO YANALENGA BARA ZIMA LA AFRIKA, FIKRA ZAKO HAZINA UBINAFSI HATA KIDOGO..MUNGU IBARIKI AFRIKA....LIKE.
 
Ukweli ukizihiri uongo hujitenga mbona hukulisema lile la dhulma lililofanyika kule Zanzibar na kuwanyanganya wazanzibar ushindi Wao wa octobar 25-2015
Usiseme dhulma,hiyo cha mtoto miaka mia mbili ya biashara ya utumwa hiyo ndio dhulma.
 
Mkanda tuliojifunga kwa agizo la baba Taifa Mwl Nyerere .atujaufungua hadi Leo.sasa umwingine tena tunaufungia wapi au kifuani !!!??? Tubanie pumzi tutumie oxygen kidogo !!??
 
Nikikumbuka biashara ya utumwa na jinsi gani ndugu zetu,jamaa zetu,makabila yetu walivyoteswa ;dhalilika'nyanyaswa'uwawa....,Nikikumbuka ukoloni ulivyodidimiza maendeleo ya nchi nyingi za inayoitwa dunia ya tatu au nchi maskini duniani..nikikumbuka vuguvugu la kudai uhuru na jinsi ndugu zetu/babu zetu walivyopinga/pata vikwazo/fungwa...

Nchi nyingi za kiafrika zinapita katika mapito makubwa kuekelea kupata maendeleo makubwa kijamii,kiuchumi na kisayansi..Mataifa yenye kuidoea Africa huku Tanzania ikiwa moja ya nchi lengwa hayafurahii na hayatakaa yafurahie kuona nchi hizi zikiendelea na kuacha kuwa tegemezi wa misaada ya vyandarua vyenye dawa,dawa za kusafisha maji,sindano za kinga ya pepopunda,tohara,vilainishi,etc etc..

Misimamo thabiti ya viongozi wetu ni kitu kisichotegemewa na mataifa yenye njaa ya unyonyaji ,ukwapuaji rasilimali,utekaji wa uhuru,haki,umoja ili kufanikisha kiu ya wizi wa rasilimali mafuta,madini,gas,vito,maji,n.k...Wapo tayari kufadhiri makundi wanayoyatengeneza kati yetu kwa kutugawa kwa misingi ya itikadi za vyama/dini /ukabila pasipo sisi kujua kwamba twatumika kwa faida ya mataifa husika yenye uroho wa rasilimali..

Sitoshangaa kuona tunapingwa kila kona,sitoshangaa kuona hukumu nyingi za kutukandamiza,sitoshangaa tukiwekewa vikwazo kama vya kwa Mugabe,Gaddafi,...,Sitoshangaa kuona hujuma dhidi ya uchumi wetu,Hujuma dhidi ya Sarafu yetu..Umoja wetu ni kitu muhimu sana katika wakati huu na tuendako..yatupasa kuweka itikadi zetu pembeni,yatupasa kuweka chuki zetu pembeni,yatupasa kuweka kiu zetu za madaraka pambeni huku uzalendo na maslahi mapana ya taifa yakiwekwa mbele zaidi.

Tuitetee Nchi,Tuinenee mema nchi yetu,Tukatae Kuivua Nguo Nchi Yetu,Tuisitiri nchi yetu,Tuhubiri habari njema dhidi ya taifa letu...Tanzania ni mali yetu na vizazi vijavyo.
 
Nikikumbuka biashara ya utumwa na jinsi gani ndugu zetu,jamaa zetu,makabila yetu walivyoteswa ;dhalilika'nyanyaswa'uwawa....,Nikikumbuka ukoloni ulivyodidimiza maendeleo ya nchi nyingi za inayoitwa dunia ya tatu au nchi maskini duniani..nikikumbuka vuguvugu la kudai uhuru na jinsi ndugu zetu/babu zetu walivyopinga/pata vikwazo/fungwa...

Nchi nyingi za kiafrika zinapita katika mapito makubwa kuekelea kupata maendeleo makubwa kijamii,kiuchumi na kisayansi..Mataifa yenye kuidoea Africa huku Tanzania ikiwa moja ya nchi lengwa hayafurahii na hayatakaa yafurahie kuona nchi hizi zikiendelea na kuacha kuwa tegemezi wa misaada ya vyandarua vyenye dawa,dawa za kusafisha maji,sindano za kinga ya pepopunda,tohara,vilainishi,etc etc..

Misimamo thabiti ya viongozi wetu ni kitu kisichotegemewa na mataifa yenye njaa ya unyonyaji ,ukwapuaji rasilimali,utekaji wa uhuru,haki,umoja ili kufanikisha kiu ya wizi wa rasilimali mafuta,madini,gas,vito,maji,n.k...Wapo tayari kufadhiri makundi wanayoyatengeneza kati yetu kwa kutugawa kwa misingi ya itikadi za vyama/dini /ukabila pasipo sisi kujua kwamba twatumika kwa faida ya mataifa husika yenye uroho wa rasilimali..

Sitoshangaa kuona tunapingwa kila kona,sitoshangaa kuona hukumu nyingi za kutukandamiza,sitoshangaa tukiwekewa vikwazo kama vya kwa Mugabe,Gaddafi,...,Sitoshangaa kuona hujuma dhidi ya uchumi wetu,Hujuma dhidi ya Sarafu yetu..Umoja wetu ni kitu muhimu sana katika wakati huu na tuendako..yatupasa kuweka itikadi zetu pembeni,yatupasa kuweka chuki zetu pembeni,yatupasa kuweka kiu zetu za madaraka pambeni huku uzalendo na maslahi mapana ya taifa yakiwekwa mbele zaidi.

Tuitetee Nchi,Tuinenee mema nchi yetu,Tukatae Kuivua Nguo Nchi Yetu,Tuisitiri nchi yetu,Tuhubiri habari njema dhidi ya taifa letu...Tanzania ni mali yetu na vizazi vijavyo.

Tunajiibia wenyewe wala tusitafute visingizio
Angalia kama issue Ya IPTL sijui Escrow mara Lugumi
Hao nao ni wametoka the western world???
Yule singasinga katokea wapi?
Lugumi kwao wapi?
Lipumba kwao wapi?
 
Mnavuruga demokrasia halafu mataifa ya Magharibi yanapoingilia kati ili kuokoa wanyonge, mnakuja kutushauri tujifunge mkanda. Ujifunge na nani wakati tunaoathirika na sheria kandamizi ya mitandao ni sisi unaotushauri tujifunge mkanda? Kama mbwai na iwe mbwai, waache wamarekani watutie adabu kwa ukandamizaji wa watawala dhidi yetu walala hoi.
Kwa akili yako unaamini Marekani anatetea wanyonge?

Marekani anatetea maslahi yake kwanza , nyie atawatetea kama mrija ukikaa vizuri.

Irak,Libya na Syria unafikiri wanaouwawa ni hawa viongozi wakuu.

Marekani kama mirija yake haiguswi hata uwe mnyanyasaji kama Mseven dhidi Besigye hatakugusa.

Juzi tu hapa Kabila ameua waandamaji zaidi ya hamsini umesikia marekani akishupalia ? Hawezi sababu mirija yake huko inatiririsha bila bugudha.

Ali Bongo ameua waandamaji kadhaa lakini Marekani yupo kimya sababu ndio maslai yake yalipo......hao jamaa inahitaji Diplomasia ya hali ya juu kudili nao sio kauli kama za akina Nape.

Kama tunahitaji kugusa maslai yao inabidi twende kuwaomba kwamba jamani tulegezeeni kidogo...
 
Back
Top Bottom