Tujiandae na 50ya muungano

Tujiandae na 50ya muungano

Mangolo

Member
Joined
Oct 30, 2011
Posts
28
Reaction score
11
wandugu tumshukuru Mungu miaka 50 ya Tanganyika tumekula tujiandae na miaka 50 ya Muungano then kuna miaka 50ya jeshi TZ nchi ya mashereeee
 
kweli sie ni wajuzi wa sherehe, ukitaka kujua uliza kiasi cha pesa kilichotumika kuandaa hii sherehe..wakati wafanyakazi tunalia hatujapata mshahara..hiyo ni miaka 50 ya mafisadi wanaofaidi hii nchi...
 
Back
Top Bottom