Tujaribu

Ama Amaa

Member
Joined
Feb 29, 2008
Posts
75
Reaction score
16
Kama ni hivyo sidhani kuna haja ya kuiita jimbo kwanini wasiwe na madiwani tu?
 

Attachments

  • 1401429859716.jpg
    33 KB · Views: 432
hakika kila mtu na kazi yake,hivi hachoki kufikiria hiyo michoro tu
 
Mimi nashangaa hata kama ukubwa wake kama kiwanja cha basketball lakini si wamejikomboa wemyewe?

Namie huwa nawashangaa watanganyika sana tu, kwani nchi inakuwa determined na size? Tulitawaliwa na tukatambulikana kimataifa kama ilikuwa nchi, tulikuwa na kiti chetu UN, sasa tatizo ni lipi? Watuache tupumueeee
 
Kauli ya kuudhi lakini ndani yake mna ujumbe wa kufikirisha.
 
wazanzibar fanyeni maamuzi acheni kulialia. hebu daini kura ya maoni kwa nguvu zote, ndani ya miezi miwili tu kitaeleweka
 
Namie huwa nawashangaa watanganyika sana tu, kwani nchi inakuwa determined na size? Tulitawaliwa na tukatambulikana kimataifa kama ilikuwa nchi, tulikuwa na kiti chetu UN, sasa tatizo ni lipi? Watuache tupumueeee

Umenifurahisha shikamoo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…