Tujadiri mafanikio ya watawala wetu (tanu/ccm)

Tujadiri mafanikio ya watawala wetu (tanu/ccm)

Nsololi

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2007
Posts
298
Reaction score
81
  • Ni malengo yepi ya maendeleo waliokuwa nayo walipokabidhiwa nchi hii mwaka 1961
  • Ni yepi kati ya hayo malengo waliokuwa nayo wamefanikiwa kama walivyokuwa wameahidi?
Tunaweza kujadiri kwa maeneo kama:
​
      • Barabara za uhakika za kupitika kwa miezi yote 12 ya mwaka, angalau za kuunganisha mikoa ya TZ
      • Mawasiliano ya uhakika
      • Nishati ya uhakika
        • Mafuta, umeme, gas, n.k.
      • Maji ya uhakika kwa wananchi
      • Usafiri wa uhakika kwa wananchi
      • Elimu ya shule ya msingi ya uhakika
      • Elimu ya shule ya sekondari ya uhakika
      • Elimu ya kiwango cha colleges kwa ngazi zote
      • Sekta ya afya
      • Sekata ya kilimo ya chakula
      • Sekata ya kilimo ya mazao ya biashara
      • Sekta ya viwanda
      • Sekta ya madini
      • Sekta ya uvuvi
      • Sekta ya utalii
      • n.k.
    • Ni katika lipi ambalo chama tawala (TANU/CCM) na w=viongozi wake na watawala wetu wanaweza kusimama vifua mbele na kujisifu kuwa wamefanikiwa?????
 

Attachments

Back
Top Bottom