Tujadiri: BOT ina mchango gani katika kutimiza ndoto ya Rais ya kutengeneza mabilionea 100?

Mtini

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
1,487
2,344
Wadau karibuni tujadiri, tuweke mapendekezo yetu ni kwa namna gani BOT inaweza kuchangia kutimiza hii ndoto ya rais wetu
 
Wadau karibuni tujadiri, tuweke mapendekezo yetu ni kwa namna gani BOT inaweza kuchangia kutimiza hii ndoto ya rais wetu
Imeshinda kudhibiti mfumuko wa shilling ya Tz dhidi ya $ itaweza nini 1$=2300tsh
 
So far ametengeneza walemavu na wajane na kupeleka watanzania wengi kuzimu.

Anachoweza ni kuteka bilionia kama Mo dewji na kuzulumu.
 
Ndoto zingine zinachekesha
Kila jambo linapoanza huonekana kama ndoto
Screenshot_20190608-094918.png
 
Wadau karibuni tujadiri, tuweke mapendekezo yetu ni kwa namna gani BOT inaweza kuchangia kutimiza hii ndoto ya rais wetu
Moja kuonngeza mzunguko wa fedha kwa kupunguza kiwa Cha minimum reserve ambacho mabenki yanatakiwa kuwa nacho kwenye akaunti zake benki kuu.Hii itafanya mabenki yawe na pesa nyingi zaidi mikononi za kukopesha watu wengi zaidi , Mbili Benki kuu Kama mshauri wa serikali iishauri iongeze matumizi government spending kwa kupandisha mishahara ya wafanyakazi ambao ndio wasambazaji pesa kwa wafanyabiashara kwa manunuzi wafanyayo.Pia BOT washauri serikali kupunguza foreign expenditure zinaxoenda kutajirisha foreigners kwa miradi na manunuzi boys nje ya nchi na kuongeza domestic expenditure kwenye miradi na manunuzi.BOT isimamie swala la interest rates kwenye Taasisi za fedha ,mabenki,Sacco's na microfinance na credit only institutions kuhakisha riba zinakuwa chini kwa wakopeshaji hao ili wanamchi wengi wanufaike na mikopo na kuweza kuongeza uwezo wao wa manunuzi na uwekezaji.
 
Back
Top Bottom