hsnaturalfertility
JF-Expert Member
- May 14, 2022
- 918
- 1,946
Ninacholipendea hili jukwaa watu wako serious, hakuna mizaha mingi, lakini pia tunapata mawazo mapya kila siku humu.
Leo naomba tupeane michongo ya biashara zenye faida ya shilingi kwa shilingi. Yaani ukileta mzigo wa milioni 30, ukimaliza kuuza unapata faida ya milioni 30. (Bila kuzingatia ni muda gani utachukua kumaliza mzigo, pia Ceteris paribus.)
Mimi niliwahi kusikia kuwa biashara ya dawa za binadamu ina faida ya shilingi kwa shilingi na wakati mwingine shilingi inazaa shilingi mbili. Wengine wanasema vifaa vya simu hasa ukiweza kuvitoa China kuja kuuza bongo.
Karibuni tupeane michongo zaidi kuhusu biashara za shilingi kwa shilingi.