Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 21,854
- 26,091
Samaki ni very hotcakes everywhereUvuvi ndo umenipa utajiri, kikubwa ulijue soko lako vzr
Samaki ni very hotcakes everywhereUvuvi ndo umenipa utajiri, kikubwa ulijue soko lako vzr
Na wao unawafanya wateja wako ili mambo yasiwe mengi 😂Biashara zenye faida zipo tatizo polisi😅
Na kuwa adui wa MunguZipo nyingi sana as long as upo tayari kuwa adui wa Jamhuri na polisi.
Kweli kuna jamaa yangu nae ana boti za dagaa, anapiga hela sanaUvuvi ndo umenipa utajiri, kikubwa ulijue soko lako vzr
Una akili sana, ubariwe kiongozikanisa
200%Mfano mzigo unaonunua mil 1.5 ukiuza unapata faida laki 4.5... Hiyo ni % ngapi ya faida?
Biashara ya mazao ukiiotea!,Tunanunua gunia la alizeti elfu themanini,mwezi wa kumi na mbili hadi laki2!Ninacholipendea hili jukwaa watu wako serious, hakuna mizaha mingi, lakini pia tunapata mawazo mapya kila siku humu.
Leo naomba tupeane michongo ya biashara zenye faida ya shilingi kwa shilingi. Yaani ukileta mzigo wa milioni 30, ukimaliza kuuza unapata faida ya milioni 30. (Bila kuzingatia ni muda gani utachukua kumaliza mzigo, pia Ceteris paribus.)
Mimi niliwahi kusikia kuwa biashara ya dawa za binadamu ina faida ya shilingi kwa shilingi na wakati mwingine shilingi inazaa shilingi mbili. Wengine wanasema vifaa vya simu hasa ukiweza kuvitoa China kuja kuuza bongo.
Karibuni tupeane michongo zaidi kuhusu biashara za shilingi kwa shilingi.
Asante sana boss, je mbinu za kuhifadhi ili isiharibike unafanye mkuu?Biashara ya mazao ukiiotea!,Tunanunua gunia la alizeti elfu themanini,mwezi wa kumi na mbili hadi laki2!
Shukran200%
Wamekupiga kamba!! Chukua faida gawanya kwa mtaji wako then zidisha kwa 100% ndo utajua. Ametolea jibu la faida ya milion 3 na si ya laki 4.5Shukran
Mfano bidhaa inacost tsh 1496000 na inatoa faida ya tsh 297000. Hapo faida ni %ngapi?Wamekupiga kamba!! Chukua faida gawanya kwa mtaji wako then zidisha kwa 100% ndo utajua. Ametolea jibu la faida ya milion 3 na si ya laki 4.5
Vizuri ni shilingi ngapi?🤣Nipo kujifunza lakini pia atakaye hitaji kijana wa kumsaidia kwenye kazi zake halali au haramu, nipo hapa. Cha muhimu tu unilipe vizuri.
19.9%Mfano bidhaa inacost tsh 1496000 na inatoa faida ya tsh 297000. Hapo faida ni %ngapi?
Wow, this is very powerful, Asante sana mkuu umesaidia wengi kwa post hiiNimefanya na naendelea kufanya biashara tofauti tofauti ila biashara ya vifaa vya simu ukiuza rejareja shilling kuzaa zaidi ya mara mbili ni kitu cha kawaida sana,mfano bidhaa unayonunua elfu 6 kuuza Elfu 18 ni kitu cha kawaida na bidhaa unayonunua Elfu 12 kuuza Elfu 30 ni kitu cha kawaida,imagine protecta unanunua mia tano unauza Elfu 3 hadi Elfu 5 kutokana na sehemu ulipo,biashara zipo nyingi ila zingatia sehemu ambayo bado haina competition kubwa