DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Tuliwaacha watambe na nyuzi zao wiki mbili hizi. Walikuwa wamejaza nyuzi za Feitoto na propaganda za kuichafua Simba. Tunafanya kampeni za usafi 😅🤣😂Nyuzi za Simba mimi nazipa tuu 😍 😍 😍 😍 😍 😍 ni nzuri zinavutia
Mashabiki wa Simba wote wanaakili,kule Mafuriko f.c wanye akili ni wawili tu😂😅Nyuzi za Simba mimi nazipa tuu 😍 😍 😍 😍 😍 😍 ni nzuri zinavutia
KabisaSIMBA AMEDHIHIRISHA HATA AZEEKE VIPI USIMSOGELEE KWENYE KUCHA NA MENO.
Ndiwooooooooooh!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Baleke ali desh kipa akayumba akapiga mahali alikokuwa na uhakika kipa hafiki, goli la chama pia utulivu mkubwa