Jagermaster
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 654
- 321
Mh Member
Inaonekana kishwa usaha na hufahamu maana ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar?. Huwezi kushukuwa Zanzibar na kuilinganisha na mkoa wowote wa Tanganyika hata kama Zanzibar ina population ndogo ya watu wake lakini ni nchi ilioungana na Tanganyika na ukapatikana Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Kipengele cha mabadiliko ya katiba ya Zanzibar ya 1984 sio kigeni kwa Zanzibar ni kujiuliza kabla ya Muungano Zanzibar ilikuwa Nchi au mkoa?a.).
b.) kama kimewakera Watanganyika kipengele hisho basi ni malipo ya Wzanzibar kuwalipizia pale mulipo itisha Bunge lenu la Tanganyika bila kumshirikisha Mzanzibar yoyote na kujifanya muna akili nyingi? mulipo vunja Katiba yenu na nchi yenu ya Tanganyika na kuvaa Koti la Tanzania, kwa hio sisi kuanzia pale tuliwashtukizia kuwa Mumevunja makubaliano ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na Muungano kuwa Fake na badli. kwa hio muna haki ya kuvunja Muungano na kurudisha Tanganyika yenu na katiba yenu sisi hatuna hamu na Tanganyika yenu na hata kuku wa Zanzibar wanataka leo Muungano uvunjike.
This opinion is exclusive for Tanganyikas..
Eti wana jukwaa la siasa katika muungano huu wa selikari mbili upande wetu huu wa Tanganyika kupitia ofisi yetu ya Waziri mkuu Tawala za mikoa na Serikari za mitaa tukiamua kuipa hadhi mikoa yote ya Tanganyika kuwa na serikari zao na wakuu wa mikoa hiyo wachaguliwe na wananchi wa mikoa hiyo kupitia vyama au namna nyingine, na baada ya Mabadiliko hayo hao wakuu wa mikoa waitwe Marais si tutakuwa tumeweza kuipa hadhi mikoa ya Tanganyika sawa na Zanzibar ambayo nayo ina rais wake kwa sasa???!!!....na tutakuwa tumesawazisha bao, kwa maana sasa mabadiliko ya kumi ya katiba ya Zanzibar yanaleta utata, selikari ya Zanzibar inaonekana kuwa na hadhi sawa na serikari ya muungano. Selikari kuu ibaki na mambo yake ya ulinzi na usalama, foreign affairs, fedha na ugawaji wa mikoa uwe unaridhiwa na bunge la jamhuri ya muungano, then ndio tujadili katiba mpya. Maana katiba ambayo tunatarajia kuindika ni ya Muungano na wala haitagusa katiba ya Zanzibar ambao tayari wao wameweka sawa mambo yao sisi Tanganyika tunatapatapa tu. Wabunge wa bara mlio bungeni hili jukumu lenu, tunataka plat form ya kuongea mambo yetu ya Tanganyika, maana sasa tunaingia kwenye mjadala wa Katiba ya muungano ambapo mjadala pia utahusisha Wazanzibar, ambao wenyewe wanakatiba yao na mambo yao wameweka sawa.Ingawa Tanganyika hatuna jukwaa mimi naona kwa kuanzia ofisi ya Waziri mkuu Tawala za Mikoa na Serikari za mitaa mna kazi ya kufanya kwa hili na hili halihitaji UCHADEMA wa UCCM, kama unapenda Tanganyika yako linakugusa
Nawakilisha!.
Mh Member
Inaonekana kishwa usaha na hufahamu maana ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar?. Huwezi kushukuwa Zanzibar na kuilinganisha na mkoa wowote wa Tanganyika hata kama Zanzibar ina population ndogo ya watu wake lakini ni nchi ilioungana na Tanganyika na ukapatikana Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Kipengele cha mabadiliko ya katiba ya Zanzibar ya 1984 sio kigeni kwa Zanzibar ni kujiuliza kabla ya Muungano Zanzibar ilikuwa Nchi au mkoa?a.).
b.) kama kimewakera Watanganyika kipengele hisho basi ni malipo ya Wzanzibar kuwalipizia pale mulipo itisha Bunge lenu la Tanganyika bila kumshirikisha Mzanzibar yoyote na kujifanya muna akili nyingi? mulipo vunja Katiba yenu na nchi yenu ya Tanganyika na kuvaa Koti la Tanzania, kwa hio sisi kuanzia pale tuliwashtukizia kuwa Mumevunja makubaliano ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na Muungano kuwa Fake na badli. kwa hio muna haki ya kuvunja Muungano na kurudisha Tanganyika yenu na katiba yenu sisi hatuna hamu na Tanganyika yenu na hata kuku wa Zanzibar wanataka leo Muungano uvunjike.
Mh Member
Inaonekana kishwa usaha na hufahamu maana ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar?. Huwezi kushukuwa Zanzibar na kuilinganisha na mkoa wowote wa Tanganyika hata kama Zanzibar ina population ndogo ya watu wake lakini ni nchi ilioungana na Tanganyika na ukapatikana Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Kipengele cha mabadiliko ya katiba ya Zanzibar ya 1984 sio kigeni kwa Zanzibar ni kujiuliza kabla ya Muungano Zanzibar ilikuwa Nchi au mkoa?a.).
b.) kama kimewakera Watanganyika kipengele hisho basi ni malipo ya Wzanzibar kuwalipizia pale mulipo itisha Bunge lenu la Tanganyika bila kumshirikisha Mzanzibar yoyote na kujifanya muna akili nyingi? mulipo vunja Katiba yenu na nchi yenu ya Tanganyika na kuvaa Koti la Tanzania, kwa hio sisi kuanzia pale tuliwashtukizia kuwa Mumevunja makubaliano ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na Muungano kuwa Fake na badli. kwa hio muna haki ya kuvunja Muungano na kurudisha Tanganyika yenu na katiba yenu sisi hatuna hamu na Tanganyika yenu na hata kuku wa Zanzibar wanataka leo Muungano uvunjike.
Tuachaneni na hoja ya tanganyika tujadili mambo ya dowans na katiba.
wewe na abdulashaf wote ni wamoja.... msituzuge.. anzisheni sarafu na noti ya serikali ya mapinduzi zanzibar halafu tuwaachie kata yenu...
Tuachaneni na hoja ya tanganyika tujadili mambo ya dowans na katiba.
Tuachaneni na hoja ya tanganyika tujadili mambo ya dowans na katiba.
Dissolve SMZ ile mikoa mitano iwe totally integrated ktk JMT. Else sioni kama huu ni muungano!
May be we find another name
Mh Member
Inaonekana kishwa usaha na hufahamu maana ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar?. Huwezi kushukuwa Zanzibar na kuilinganisha na mkoa wowote wa Tanganyika hata kama Zanzibar ina population ndogo ya watu wake lakini ni nchi ilioungana na Tanganyika na ukapatikana Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Kipengele cha mabadiliko ya katiba ya Zanzibar ya 1984 sio kigeni kwa Zanzibar ni kujiuliza kabla ya Muungano Zanzibar ilikuwa Nchi au mkoa?a.).
b.) kama kimewakera Watanganyika kipengele hisho basi ni malipo ya Wzanzibar kuwalipizia pale mulipo itisha Bunge lenu la Tanganyika bila kumshirikisha Mzanzibar yoyote na kujifanya muna akili nyingi? mulipo vunja Katiba yenu na nchi yenu ya Tanganyika na kuvaa Koti la Tanzania, kwa hio sisi kuanzia pale tuliwashtukizia kuwa Mumevunja makubaliano ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na Muungano kuwa Fake na badli. kwa hio muna haki ya kuvunja Muungano na kurudisha Tanganyika yenu na katiba yenu sisi hatuna hamu na Tanganyika yenu na hata kuku wa Zanzibar wanataka leo Muungano uvunjike.
hata viongoz wa ccm wengi wanakimbia mijadala ya muungano-ndo mana kila siku matatzo yanazid kuwa mengi-tukijadili katiba ni lazima tujadili na muungano pia-Tuachaneni na hoja ya tanganyika tujadili mambo ya dowans na katiba.