ayaa na hivi hurrem ndio anaongoza harrem sijui itakuaje na ibrahim pashaOkay, endeleeni kutupa updates, maana mimi pressure za tamthiliya au movie huwa siziwezi, nasoma mbele ilikuwaje basi naachana nazo au nabaki naangalia huku nishajua conclusion.
kuna uzi flan kuna mtu alinambia hivoAhaahaaaa...! acha masihara mkuu. Kwamba Ibrahimu alimdokoa yule nae. Hapana sidhani
ayaa na hivi hurrem ndio anaongoza harrem sijui itakuaje na ibrahim pasha
Kwa hiyo nani atakuwa sultan sasa au ndio itaishaa au watoto wao ,mustafa alifanya kosa gani jamani mpaka kuuawa?Hurem na sultan wote watakufa ila ata wakifa still tamthilia itanoga
Mind you sultan ndo atakae muuwa ibrahim pasha kama unakumbuka kuna ndoto hadija sultan aliota kwamba kaletewa kichwa cha pasha basi ile ndoto ni yakweli
Mustafa sio mtoto wa ibrahim na mustafa atauliwa na sultan mwenyewe baada ya shinikizo la hurem
Hadija sultan aka hatec atajiua mwenyewe kwa kuogopa kuuliwa na sultan kwa kudhani kuwa amemuwa hurem(sidhani kama umenielewa)
Hahahaaaaaaa.. Jibu mubasharaNnazo zote mkuu
hahahhaa uliza tuHahaha, ntaanza kuuliza maswali utanicheka, ngoja nibaki na hizi hizi updates nilizonazo.
na kwa nn sultan atahisi hadija kamteka hurrem?? Mana ndio hapo hadija atakapojiua!Hurem na sultan wote watakufa ila ata wakifa still tamthilia itanoga
Mind you sultan ndo atakae muuwa ibrahim pasha kama unakumbuka kuna ndoto hadija sultan aliota kwamba kaletewa kichwa cha pasha basi ile ndoto ni yakweli
Mustafa sio mtoto wa ibrahim na mustafa atauliwa na sultan mwenyewe baada ya shinikizo la hurem
Hadija sultan aka hatec atajiua mwenyewe kwa kuogopa kuuliwa na sultan kwa kudhani kuwa amemuwa hurem(sidhani kama umenielewa)
na kwa nn sultan atahisi hadija kamteka hurrem?? Mana ndio hapo hadija atakapojiua!
Wewe ni muongo,1. Hadije ameongea lile neno “nakutaliki” pale mwisho ili kukuweka attention mtazamaji. Hawezi kumtaliki,watasameheana.
2. Pasha hawezi kuuawa ksbb ni sehemu ya staring (ndio maana watazamaji wengi wanamkubali,halafu hawapendi yamkute mabaya)
3. Sultan atajua kile alichofanya pasha ila hawezi kumtoa auawe. Kinga ya pasha iko kwa Hadije. Hawezi kubariki kitu kama hicho kimtokee pasha. Sultan akifikia hapo atajiuliza mdogoake mwingine alivyomlilia kuuawa kwa mume wake. (recall shazad Mstafa alimuuliza mtukufu pamoja na shangazi kukulia ukamuua mumewe?) Mtukufu hatataka ile hali ijirudie,ukizingatia anampenda sana Hadije.
4. Tamthilia inaweza ikawa mwisho mwisho,ndio maana Hulem kafikia malengo,kudhihirisha ufalme wa Suleiman kwamba nae alidanganywa na mwanamke kama ilivyo kwa Adam na Hawa,kama ilivyo kwa Samson na Delila.
5. Sultan Suleiman atafariki,Mstafa atashika hatamu ya uongozi. Na uongozi wake utapendwa na wengi. Hapo naiona hatima ya Hulem
6. Mwisho Japo hii tamthilia si nzuri sana,ila yamo mafundisho ,ina makosa mengi,siku za mbeleni Azam wajaribu kuchagua tamthilia kali,kama zile au hata wanaweza kurudia hizo hazichuji (ACAPRUCO-BEY) wengi wataikumbuka zamani ITV nafikiri.
7. Tamthilia hazichagua jinsia,nafikiri yule anaetaka kulazimisha wengine wasiangalie ksbb ya jinsia anakosa muda. Wengine wanasema huwezi kuangalia Me kwa kisingizio cha muda unapata wapi? saa 4 usiku wewe Me utakuwa wapi badala ya kuwa home ukufurahia na watoto pamoja? (wenye familia). Sio rahisi ukipendacho wewe na mwingine akapenda.Tena msiangalia kuna mafundisho mnayakosa
Sultan Suleiman Khan anaingiaaaaaaaa,Sultan ndiyo nani?
Inawezekana hata kwako Hakuna tv hujui hata ulimwengu wa burudan unakwendajeJinsia yako tafadhari?
Hicho kipengele cha 5 naona umeamua kutunga script ya kwako.... Ukilisikiliza tangazo la hiyo Tamthiliya ya Sultana kuna maneno huwa yanasemwa kwamba, "Penzi lilikomuibua mtumwa na kuwa mwanamke mwenye Nguvu zaidi duniani". Anyway ngoja tuone....1. Hadije ameongea lile neno “nakutaliki” pale mwisho ili kukuweka attention mtazamaji. Hawezi kumtaliki,watasameheana.
2. Pasha hawezi kuuawa ksbb ni sehemu ya staring (ndio maana watazamaji wengi wanamkubali,halafu hawapendi yamkute mabaya)
3. Sultan atajua kile alichofanya pasha ila hawezi kumtoa auawe. Kinga ya pasha iko kwa Hadije. Hawezi kubariki kitu kama hicho kimtokee pasha. Sultan akifikia hapo atajiuliza mdogoake mwingine alivyomlilia kuuawa kwa mume wake. (recall shazad Mstafa alimuuliza mtukufu pamoja na shangazi kukulia ukamuua mumewe?) Mtukufu hatataka ile hali ijirudie,ukizingatia anampenda sana Hadije.
4. Tamthilia inaweza ikawa mwisho mwisho,ndio maana Hulem kafikia malengo,kudhihirisha ufalme wa Suleiman kwamba nae alidanganywa na mwanamke kama ilivyo kwa Adam na Hawa,kama ilivyo kwa Samson na Delila.
5. Sultan Suleiman atafariki,Mstafa atashika hatamu ya uongozi. Na uongozi wake utapendwa na wengi. Hapo naiona hatima ya Hulem
6. Mwisho Japo hii tamthilia si nzuri sana,ila yamo mafundisho ,ina makosa mengi,siku za mbeleni Azam wajaribu kuchagua tamthilia kali,kama zile au hata wanaweza kurudia hizo hazichuji (ACAPRUCO-BEY) wengi wataikumbuka zamani ITV nafikiri.
7. Tamthilia hazichagua jinsia,nafikiri yule anaetaka kulazimisha wengine wasiangalie ksbb ya jinsia anakosa muda. Wengine wanasema huwezi kuangalia Me kwa kisingizio cha muda unapata wapi? saa 4 usiku wewe Me utakuwa wapi badala ya kuwa home ukufurahia na watoto pamoja? (wenye familia). Sio rahisi ukipendacho wewe na mwingine akapenda.Tena msiangalia kuna mafundisho mnayakosa
Huna tv kwako kaa kimyaMwanaume akikaa kujadili tamthilia, huwa napata mashaka fulan kidogo.
Good. Point. Ndio ubovu wa hii tamthilia,unaweza kabisa kuitabiri na ikawa hivyo. Mimi mara nyingi nawatabiria,ni chache nabug. Usipoiangalia siku moja haikusumbui kichwa kama zilivyokuwa ACAPRUCOBEYNi kweli mkuu ubaya wa tamthilia hii Ni kuwa inatabirika mno yaana unawwza ukat aviri kipande kijaacho kitakuwaje hii sio dalili au sifa ya tamthilia nzuri
Mkuu,hapo mimi hakuna ninachokijua mbele,kila nilichoongea hapo ni vya kutunga tu kama ulivyoongea, kwa minajiri ya kubashiri tu. Sina ninachokijua mbele. Japo kwa hii tamthilia mara fulani fulani nilizotabiri ikawa,hata kwa 60%. InatabirikaHicho kipengele cha 5 naona umeamua kutunga script ya kwako.... Ukilisikiliza tangazo la hiyo Tamthiliya ya Sultana kuna maneno huwa yanasemwa kwamba, "Penzi lilikomuibua mtumwa na kuwa mwanamke mwenye Nguvu zaidi duniani". Anyway ngoja tuone....
Wewe ni muongo,
Ibrahim atauliwa na Sultan kwa kumtumia Watu (Wasiojulikana) wakamnyonge usiku wakati amelala.
Hapo Sultan atakua amewaua waume wawili wa dada zake (mashemeji zake), maana hata yule dada yake mwengine pia alimuulia mumewe.
Hata Mustafa hatokaa aurithi U-Sultan maana hata nae atakufa kabla ya Sultan, hao hao Watu Wasiojulikana Watamnyonga Shehazad Mustafa mbele ya Sultan kwa maagizo yake.
Nigal Kalfa atagundulika usaliti alioufanya kwa Hadije, adhabu yake itakua ni kupigwa mishale juu ya Mlima ili aangukie korongoni, lakini ataamua kujirusha mwenyewe (kujiua).
Baada ya Sultan Suleiman kufa (Shehazade Mustafa akuwa ashatangulia kabla yake) atakaerithi U-Sultan ni Shehazad mwengine mtoto wa Hurem.
Mkuu sijaelewa umenisahihisha au umefafanua nilichoandika.Atakae kuwa sultan ni selim yule mtoto wa hurem
Mkuu sijaelewa umenisahihisha au umefafanua nilichoandika.
Jitahidi kuficha upumbavu wako.Mambo mengine bwana muwe mnapeleka kwa saloon.