Duuh...! basi sawa mkuu. Utanifanya niache kuicheck sasa. Si unajua tamthilia ili iwe nzuri,yule wanaemkubali wengi ni vizuri akadumuSio kweli mkuu
1. Ibrahim atuliwa tena na sultani mwenyewe kwa kukatwa kichwa kutokana na shinikizo la hurem
2. Shazde mustafa atuliwa na sultan mwenyewe kutokana na vita ya madaraka shinikizo kutoka kwa hurem
3. Hadija sultana atajua mwenyewe kwa dhana ya kuogopa kuuliwa na sultan baada ya kudhani amemuua hurem kumbe laaa
4. Hurem sultan atakufa kutokana na ugonjwa na kudhohofu kiafya
5.Sultan atakufa na kitu kuchukuliwa na selim mtoto wa hurem miongoni mwa wale watoto wadogo wa hurem
6. Balbey atarudi na nigal kalfa ata kufa
Mihimaa atajifungua mtoto ila ata kufa
Inshort mambo ni mengi
Mbona niliona kama ataanza kufa mustafa,halaf suleiman ,mi naiona nzuri sanaa sultan jamani1. Hadije ameongea lile neno “nakutaliki” pale mwisho ili kukuweka attention mtazamaji. Hawezi kumtaliki,watasameheana.
2. Pasha hawezi kuuawa ksbb ni sehemu ya staring (ndio maana watazamaji wengi wanamkubali,halafu hawapendi yamkute mabaya)
3. Sultan atajua kile alichofanya pasha ila hawezi kumtoa auawe. Kinga ya pasha iko kwa Hadije. Hawezi kubariki kitu kama hicho kimtokee pasha. Sultan akifikia hapo atajiuliza mdogoake mwingine alivyomlilia kuuawa kwa mume wake. (recall shazad Mstafa alimuuliza mtukufu pamoja na shangazi kukulia ukamuua mumewe?) Mtukufu hatataka ile hali ijirudie,ukizingatia anampenda sana Hadije.
4. Tamthilia inaweza ikawa mwisho mwisho,ndio maana Hulem kafikia malengo,kudhihirisha ufalme wa Suleiman kwamba nae alidanganywa na mwanamke kama ilivyo kwa Adam na Hawa,kama ilivyo kwa Samson na Delila.
5. Sultan Suleiman atafariki,Mstafa atashika hatamu ya uongozi. Na uongozi wake utapendwa na wengi. Hapo naiona hatima ya Hulem
6. Mwisho Japo hii tamthilia si nzuri sana,ila yamo mafundisho ,ina makosa mengi,siku za mbeleni Azam wajaribu kuchagua tamthilia kali,kama zile au hata wanaweza kurudia hizo hazichuji (ACAPRUCO-BEY) wengi wataikumbuka zamani ITV nafikiri.
7. Tamthilia hazichagua jinsia,nafikiri yule anaetaka kulazimisha wengine wasiangalie ksbb ya jinsia anakosa muda. Wengine wanasema huwezi kuangalia Me kwa kisingizio cha muda unapata wapi? saa 4 usiku wewe Me utakuwa wapi badala ya kuwa home ukufurahia na watoto pamoja? (wenye familia). Sio rahisi ukipendacho wewe na mwingine akapenda.Tena msiangalia kuna mafundisho mnayakosa
Hadija anampenda sana ibrahimu jamani mweeeeno no no
Hatonyongwa sema atakua anaona shida sana kumuua pasha vile wametoka mbali
Atapanga mipango madhubuti atahakikisha kwenye mauaji yeye ajifanye hausiki lakini anahusika ambapo itampelekea hadija sultana kunywa sumu ajiue.
Hata mi nasikia hivyo ndio maana mahdevran wanapatana sana ila jana kajibiwa kuwa umenichosha na makosa yako [emoji23][emoji23][emoji23]wengine wanasema itajulikana mustafa ni wa ibrahim pasha sio wa sultan, sasa sultan atajua
Jamani hurrem akifa si tamthilia itaisha jamani[emoji23][emoji23][emoji23]Duuh...! basi sawa mkuu. Utanifanya niache kuicheck sasa. Si unajua tamthilia ili iwe nzuri,yule wanaemkubali wengi ni vizuri akadumu
Kama nakuelewa hivi mkuu. Kunyongwa pasha naona kama hii tamthilia itakuwa haijakamilika.no no no
Hatonyongwa sema atakua anaona shida sana kumuua pasha vile wametoka mbali
Atapanga mipango madhubuti atahakikisha kwenye mauaji yeye ajifanye hausiki lakini anahusika ambapo itampelekea hadija sultana kunywa sumu ajiue.
Ahaahaaaa...! acha masihara mkuu. Kwamba Ibrahimu alimdokoa yule nae. Hapana sidhaniwengine wanasema itajulikana mustafa ni wa ibrahim pasha sio wa sultan, sasa sultan atajua
[emoji23][emoji23][emoji23] kwanini mkuu?mimi naona 2020 kusiwe na uchaguzi
Ni kweli mkuu ubaya wa tamthilia hii Ni kuwa inatabirika mno yaana unawwza ukat aviri kipande kijaacho kitakuwaje hii sio dalili au sifa ya tamthilia nzuri1. Hadije ameongea lile neno “nakutaliki” pale mwisho ili kukuweka attention mtazamaji. Hawezi kumtaliki,watasameheana.
2. Pasha hawezi kuuawa ksbb ni sehemu ya staring (ndio maana watazamaji wengi wanamkubali,halafu hawapendi yamkute mabaya)
3. Sultan atajua kile alichofanya pasha ila hawezi kumtoa auawe. Kinga ya pasha iko kwa Hadije. Hawezi kubariki kitu kama hicho kimtokee pasha. Sultan akifikia hapo atajiuliza mdogoake mwingine alivyomlilia kuuawa kwa mume wake. (recall shazad Mstafa alimuuliza mtukufu pamoja na shangazi kukulia ukamuua mumewe?) Mtukufu hatataka ile hali ijirudie,ukizingatia anampenda sana Hadije.
4. Tamthilia inaweza ikawa mwisho mwisho,ndio maana Hulem kafikia malengo,kudhihirisha ufalme wa Suleiman kwamba nae alidanganywa na mwanamke kama ilivyo kwa Adam na Hawa,kama ilivyo kwa Samson na Delila.
5. Sultan Suleiman atafariki,Mstafa atashika hatamu ya uongozi. Na uongozi wake utapendwa na wengi. Hapo naiona hatima ya Hulem
6. Mwisho Japo hii tamthilia si nzuri sana,ila yamo mafundisho ,ina makosa mengi,siku za mbeleni Azam wajaribu kuchagua tamthilia kali,kama zile au hata wanaweza kurudia hizo hazichuji (ACAPRUCO-BEY) wengi wataikumbuka zamani ITV nafikiri.
7. Tamthilia hazichagua jinsia,nafikiri yule anaetaka kulazimisha wengine wasiangalie ksbb ya jinsia anakosa muda. Wengine wanasema huwezi kuangalia Me kwa kisingizio cha muda unapata wapi? saa 4 usiku wewe Me utakuwa wapi badala ya kuwa home ukufurahia na watoto pamoja? (wenye familia). Sio rahisi ukipendacho wewe na mwingine akapenda.Tena msiangalia kuna mafundisho mnayakosa
yaaaapYes, nimeona.
Executed on Sultan's order.
yeah anampendaHadija anampenda sana ibrahimu jamani mweeee
hahaha maudhi yamezidi sanaHata mi nasikia hivyo ndio maana mahdevran wanapatana sana ila jana kajibiwa kuwa umenichosha na makosa yako [emoji23][emoji23][emoji23]
yaaaap
haijakamolika vipiKama nakuelewa hivi mkuu. Kunyongwa pasha naona kama hii tamthilia itakuwa haijakamilika.
Ni kweli mkuu ubaya wa tamthilia hii Ni kuwa inatabirika mno yaana unawwza ukat aviri kipande kijaacho kitakuwaje hii sio dalili au sifa ya tamthilia nzuri
Duuh...! basi sawa mkuu. Utanifanya niache kuicheck sasa. Si unajua tamthilia ili iwe nzuri,yule wanaemkubali wengi ni vizuri akadumu
Jamani hurrem akifa si tamthilia itaisha jamani[emoji23][emoji23][emoji23]