sinajinasasa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 2,989
- 4,130
Jinsia yako tafadhari?Hivi wapenzi wa hii tamthilya, nikiangalia naona kamq ipo ukingoni, Hurem ameipata Harem na Ibrahim pasha ameishajulikana mwisho wake Hadije atamtaliki hivyo Pasha anaweza kuuliwa. Pasha akiga ndo utamu wa tamthiliya unaisha. Au mnasemaje wapenzi wenzangu?
Nnazo zote mkuuJinsia yako tafadhari?
Jinsia yako tafadhari?
Eti kweli eeh?Huyo Sultan ndiyo namskia anataka kuhamia ccm?
Huyo kazi yake ni boda boda hana muda na TV!Una uhafidhina wa hali ya juu mkuu. Sauala la kuwa mpenzi wa Tamthilia linahusianaje na jinsia sasa? Kwa taarifa yako tamthilia ya Sultan inatazamwa kwa sasa na kila rika na bila kujali jinsia.
Huyo kazi yake ni boda boda hana muda na TV!
Ibrahim pasha anapitia kipindi kigumu lakini hata hili litapita
Pia mimi umeme unapokatika nahakikisha nina bando la kuangalia online.Wengine sisi hata kama saa 4 usiku tukiwa hatujarudi home tunaangalizia hata kwa Azam TV App kwenye simu, wapenz wa Sultan tupo wengi sana mkuu......na kwa faida ya bwana Zero IQ jinsia yangu ni ME. hahahaaa.
Yaani hii tamthiliya inasisimua sana, Pasha akifa naacha kuangalia Sultan
Haujafurahia Mahdevran kufyekelewaaa mbali?
Yaani Hurem anajifanya mwamba, nataka naye asulubiwe ashike adabu anajifanya mzuri sanaHapana, amenyanyaswa sana na Hurem
Hapana, amenyanyaswa sana na Hurem
Hapana, amenyanyaswa sana na Hurem
Hebu toka kwenye huu uzi, unajifanya hupendi umbeya wakati misikio na mimacho kodo.Mambo mengine bwana muwe mnapeleka kwa saloon.
Nimetoka boss lady.Hebu toka kwenye huu uzi, unajifanya hupendi umbeya wakati misikio na mimacho kodo.
Mambo mengine bwana muwe mnapeleka kwa saloon.
Mambo mengine bwana muwe mnapeleka kwa saloon.