Tujadili simu hii mpya ya TECNO

Tujadili simu hii mpya ya TECNO

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
12,320
Reaction score
11,341
Wadau naomba tujadili hii smartphone mpya ya TECNO PHANTOM 6+ , nasikia kua iko fast sana na ni very "handy",
je kuna mtu ameipata na kuitumia atupe details kidogo ikoje.

1478105528662.jpg

1478105534909.jpg
 
Ni simu nzuri sana internet ipo faster Ram GB 4 camera megapixel 21 ni simu ya hali ya juu sana hongereni techno kwa mapinduzi ya android
Kweli ni simu nzuri ila matumizi yake ni mwaka mmoja baada ya hapo kila kitu kimechoka betri, camera na speed hamna full ku stack. Simu za tecno sio mbaya ila hazina durability baada ya mwaka inakuwa spana mkononi. Mi natumia huawei mate 7 toka 2014 haijawahi sumbua chochote na nafikiria kununua tena smartphone 2020 (baada ya miaka sita) sio nitumie laki tano kununua simu ya mwaka mmoja
 
Internet kuwa fasta ni mtandao au aina ya simu? Ina maana iphone7 itakua na speed balaa au?
 
Kweli ni simu nzuri ila matumizi yake ni mwaka mmoja baada ya hapo kila kitu kimechoka betri, camera na speed hamna full ku stack. Simu za tecno sio mbaya ila hazina durability baada ya mwaka inakuwa spana mkononi. Mi natumia huawei mate 7 toka 2014 haijawahi sumbua chochote na nafikiria kununua tena smartphone 2020 (baada ya miaka sita) sio nitumie laki tano kununua simu ya mwaka mmoja
Mkuu simu zinabadilika application mara kwa mara kukaa na simu miaka mingi nayo ni kujirudisha nyuma .
 
Back
Top Bottom