Tujadili, serikali inajenga minara ya simu au makampuni?

Tujadili, serikali inajenga minara ya simu au makampuni?

ngurasu aba

Senior Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
105
Reaction score
29
Napenda tujuzane kwa hili watanzania, mgombea mwenza wa urais kupitia ccm mh. Samia Suluhu ameahidi watajenga minara ya simu kupunguza tatizo la mtandao, hv hili swala ni la kiserikali au ndio porojo na kukosa sera? Mimi sijui ila ninashangaa.
 
Hata Mimi nilishindwa kumwelewa huyu mama, au nimmiliki wa makapuni ya cm
 
Kuna mwingne alisema yeye na serikali ya ccm "watajenga reli kiwango cha lami"
 
Back
Top Bottom