Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 22,854
- 32,657
Ile slogan ya nguvu Moja naiona kabisa kuwa haiakisi uhalisia wa timu ya Makolo. Timu inagawanyika kirahisi sana ....Kila mtu yupo tayari kuitisha press conference kuzungumzia timu

Yanga Wanaslogani ya "daima mbele...nyuma mwiko lakini kuwaganya ni kazi sana .....Baada ya derby kuahirishwa....waliungana where by Hadi watoto, wazee .....vikongwe kule Mwakaleli walitamka hatuchezi.....
Back to Simba .... Mashabiki na wanachama wanataka moo asepe....
Wengine mangungu aondoke wengine body nzima
NB: it's seems Kuna kamfumo kapo pale Simba kana instigate mivurugano Kwa makolo ....Kila mwaka

Kukatoa hako kamfumo ni kazi sana ....it's like ni kama jipu limeota kwenye kichwa Cha mashine.,....ambapo either ukaushe auanfe Kwa doctor
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app