Tujadili : Nani ni master plan wa mivurugano pale Simba?

Tujadili : Nani ni master plan wa mivurugano pale Simba?

Mangungu apewe heshima kwa kuiongoza Simba katika kipindi hiki kigumu sana
Hakuna kiongozi angeweza kuiongoza Simba kipindi hiki na kuifanya kuwa Moja huku ikipoteza mara 5 kwa yanga
 
Wengine mazungumzo yao yako mezani, (viongozi), lakini wanachama ama wakeleketwa wao mazungumzo yao wanayafanya nyuma ya mikamera ndiyo maana nikasema wanarusha jiwe gizani

Wanao ongea nyuma ya mikamera ni sawa na kurusha jiwe gizani

Kwakifupi kunatakiwa wanachama wenye kuthubutu kumwambia muwekezaji akae pembeni club iendeshewe na kamati tendaji hadi hapo mchakato wa uwekezaji utakapo kamilika
Hapo ndo pagumu

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Ila huku tunapoenda sidhani kama itatokea tena ile ya timu moja kuwa bingwa mara nane au tisa mfululizo kama anavyofanya utopolo kuanzia 21/22. Nina imani kuanzia 2031 timu zitakuwa zinabadilishana badilishana ubingwa kama zitakuwa serious kujiimarisha
Amini nakuambia , siku Azam akiamua kuweka mambo yake sawasawa na yakakaa kwenye njia iloyonyooka~ Simba na Yanga itawachukua muda mwingi sana kushinda Mataji hususan ya ndani ya nchi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom