Unaota wewe mchana kweupe
Mimi binafsi naipa Simba nafasi kubwa ya kuibuka na ushindi ndani ya dakika 90. Piga uwa mnyama atatafuna kandambili 2-0.
Oktoba 31 ulisema hivyohivyo naona hukomi tu. Mechi ya leo itaisha kwa sare ya moja moja halafu itaenda kwenye matuta ambapo simba atashinda kwa penati nne kwa tatu. Kaseja atafuta mbili.
yanga kwa somba ni kama mbwa anapomwona chatu!😀game ya leo itakua ngumu..coz yanga nao wapo juu!
..Mpaka muifukudhe kadhi midhungu yenu yote mwaka huu. Ni kichapo tu..
Zikiwa zimebakia tabribani saa 8 ili ule mpambano wa watani wajadi Simba na Yanga ufanyike, kumekuwa na tambo za kila aina kutoka pande zote mbili. Kinachonifanya nione mpambano wa leo kuwa mtamu si tu kuwa Simba na Yanga wanacheza bali ni aina ya mechi ya leo. Kwa mujibu wa kanuni za mashindano ya Tusker hii ni hatua ya nusu fainali hivyo leo vyote vyote iwavyo lazima mtu apigwe bao ili apatikane mshindi wa kuingia fainali hatimaye kukutana na Sofapaka ya Kenya. Hilo ndio kubwa linalofanya pambano la leo kuwa tamu tofauti na mengine tuliyozoea ambapo timu zikitoka sare ndani ya dakika 90 kila mtu anaenda nyumbani na maumivu nusu. Leo mpaka kieleweke.
Mimi binafsi naipa Simba nafasi kubwa ya kuibuka na ushindi ndani ya dakika 90. Piga uwa mnyama atatafuna kandambili 2-0.
...Mi mbona nimeshaanza kusheherekea ushindi mazee?? Hapa nilipo nameza nyara ndogo ya tatu minazini. Ni uhakika kabisa mnyama anafanya kweli..Poleni sana wateja!
Tegete na Ngassa wana uchu wa magoli hao....Leo Simba mtakiona...Canavarro mwenyewe anamaliza ....ni full ulizi....I hope YANGA 4 SIMBA 0....Zikiwa zimebakia tabribani saa 8 ili ule mpambano wa watani wajadi Simba na Yanga ufanyike, kumekuwa na tambo za kila aina kutoka pande zote mbili. Kinachonifanya nione mpambano wa leo kuwa mtamu si tu kuwa Simba na Yanga wanacheza bali ni aina ya mechi ya leo. Kwa mujibu wa kanuni za mashindano ya Tusker hii ni hatua ya nusu fainali hivyo leo vyote vyote iwavyo lazima mtu apigwe bao ili apatikane mshindi wa kuingia fainali hatimaye kukutana na Sofapaka ya Kenya. Hilo ndio kubwa linalofanya pambano la leo kuwa tamu tofauti na mengine tuliyozoea ambapo timu zikitoka sare ndani ya dakika 90 kila mtu anaenda nyumbani na maumivu nusu. Leo mpaka kieleweke.
Mimi binafsi naipa Simba nafasi kubwa ya kuibuka na ushindi ndani ya dakika 90. Piga uwa mnyama atatafuna kandambili 2-0.