Tujadili Maendeleo na si kumjadili RC Makonda

Alex Fredrick

JF-Expert Member
Jun 21, 2016
680
1,338
Leo kwenye uzinduzi wa Ofisi za Wilaya ya Kigamboni, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amemuomba Mh. Rais Magufuli kwamba ampe kibali cha kuifanya Kigamboni kuwa moja ya wilaya bora hasa kwenye fursa za Uwekezaji na mengineyo

Nilitegemea humu JamiiForumS wadau tujikite kwenye kujadili HOJA na zaidi kutoa ushauri kuhusu hayo mawazo yake Makonda. Lakini kibaya na chakusikitisha sana tumeacha hoja na kuanza kumjadili Makonda binafsi.

Watanzania hasa kizazi cha leo siku hiziwamekuwa watu wakujadili majungu na sio fikra jadidi kuhusu ustawi wa Taifa letu.

Yaani sasa tumezalisha kizazi cha Roho ya korosho ambacho hakipendi kuona mtu anafanikiwa kabisa zaidi ya kuwaza mtu aharibikiwe

Charles Darwin mwanasayansi maarufu aliyepata kuvuma Uingereza karne ya 18 alipata kuhoji akili ya mtu mweusi na zaidi kwamba huenda inaulakini kwa hoja yake kuwa huwa tunafikira sawasawa?

Mark Twain naye alipata kusema hivi: Jambo linalomshangaza kuona vijana wajinga wanavyozidi kuwa wazee wajinga.

Paul Makonda, simamia unachokiamini na yote yanawezakana tu. Natumai hiyo ndoto yako ya kuifanya Wilaya ya Kigamboni sehemu ya kivutio nchini na hata nje ya Tanzania inawezekana.

Alex Fredrick,

Dar es Salaam

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jadili wewe mkuu, sema usisahau kurejea mijadala ya yard Kigamboni, kanzidata ya wanandoa, mapambano ya madawa na mengine
 
Alex Fredrick,
Mkuuu kizazi cha sasa Kimejaaa Vijana waliotinduliwa Marinda, kwa kufupi mabwabwaaaa. Sasa utambue Makonda anapambana na USHOGA, SHISHA, UNGA, MALEZI KWA MABAZAZI nk vitu ambavyo kwa sasa kwa Jamii iliyolaaaniwa ni kama Fasheni.

Hivyo utapata jawabu kwamba kwa mtu asiye akili timamu hawezi kumwelewa Makonda. Humu JF ukitaka hojja yako ijadiliwe iwe ya Kutukana Serikali au watu Wanaoonekana mwiba kwa Upinzani akiwemo Paul M.
 
Leo kwenye uzinduzi wa Ofisi za Wilaya ya Kigamboni, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amemuomba Mh. Rais Magufuli kwamba ampe kibali cha kuifanya Kigamboni kuwa moja ya wilaya bora hasa kwenye fursa za Uwekezaji na mengineyo

Nilitegemea humu JamiiForumS wadau tujikite kwenye kujadili HOJA na zaidi kutoa ushauri kuhusu hayo mawazo yake Makonda. Lakini kibaya na chakusikitisha sana tumeacha hoja na kuanza kumjadili Makonda binafsi.

Watanzania hasa kizazi cha leo siku hiziwamekuwa watu wakujadili majungu na sio fikra jadidi kuhusu ustawi wa Taifa letu.

Yaani sasa tumezalisha kizazi cha Roho ya korosho ambacho hakipendi kuona mtu anafanikiwa kabisa zaidi ya kuwaza mtu aharibikiwe

Charles Dawin mwanasayansi maarufu aliyepata kuvuma Uingereza karne ya 18 alipata kuhoji akili ya mtu mweusi na zaidi kwamba huenda inaulakini kwa hoja yake kuwa huwa tunafikira sawasawa?

Mark Twain naye alipata kusema hivi: Jambo linalomshangaza kuona vijana wajinga wanavyozidi kuwa wazee wajinga.

Paul Makonda, simamia unachokiamini na yote yanawezakana tu. Natumai hiyo ndoto yako ya kuifanya Wilaya ya Kigamboni sehemu ya kivutio nchini na hata nje ya Tanzania inawezekana.

Alex Fredrick,

Dar es salaam

Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi tujadili matamko ya muuaji tunajua ataua wangapi kutimiza malengo yake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuuu kizazi cha sasa Kimejaaa Vijana waliotinduliwa Marinda, kwa kufupi mabwabwaaaa. Sasa utambue Makonda anapambana na USHOGA, SHISHA, UNGA, MALEZI KWA MABAZAZI nk vitu ambavyo kwa sasa kwa Jamii iliyolaaaniwa ni kama Fasheni.
Hivyo utapata jawabu kwamba kwa mtu asiye akili timamu hawezi kumwelewa Makonda. Humu JF ukitaka hojja yako ijadiliwe iwe ya Kutukana Serikali au watu Wanaoonekana mwiba kwa Upinzani akiwemo Paul M.
Kwanini wewe na mleta uzi msijadili maaendeleo yake huyo mheshiwa wenu?nani kawakataza?
 
Attachments

  • 2303221_makonda2.jpg
    2303221_makonda2.jpg
    44.3 KB · Views: 4
Kwanini wewe na mleta uzi msijadili maaendeleo yake huyo mheshiwa wenu?nani kawakataza?
KY jelly ishapindua akili yako na marinda yako huna Credibility ya kujadili cha maaana ficha huo upu_mbavu wako.
 
..sidhani kama Makonda ana uwezo na vision ya kuibadilisha Kigamboni ikawa kama New Jersey.

..ili Kigamboni iwe kama New Jersey itabidi hali ya uchumi, kipato, na maisha, ya wana Kigamboni iimarike na sidhani kama Makonda anaelewa suala hilo. Anachowaza Makonda ni mahoteli na ma-showroom tu, amewasahau kabisa wananchi na wakazi wa Kigamboni.
 
Leo kwenye uzinduzi wa Ofisi za Wilaya ya Kigamboni, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amemuomba Mh. Rais Magufuli kwamba ampe kibali cha kuifanya Kigamboni kuwa moja ya wilaya bora hasa kwenye fursa za Uwekezaji na mengineyo

Nilitegemea humu JamiiForumS wadau tujikite kwenye kujadili HOJA na zaidi kutoa ushauri kuhusu hayo mawazo yake Makonda. Lakini kibaya na chakusikitisha sana tumeacha hoja na kuanza kumjadili Makonda binafsi.

Watanzania hasa kizazi cha leo siku hiziwamekuwa watu wakujadili majungu na sio fikra jadidi kuhusu ustawi wa Taifa letu.

Yaani sasa tumezalisha kizazi cha Roho ya korosho ambacho hakipendi kuona mtu anafanikiwa kabisa zaidi ya kuwaza mtu aharibikiwe

Charles Dawin mwanasayansi maarufu aliyepata kuvuma Uingereza karne ya 18 alipata kuhoji akili ya mtu mweusi na zaidi kwamba huenda inaulakini kwa hoja yake kuwa huwa tunafikira sawasawa?

Mark Twain naye alipata kusema hivi: Jambo linalomshangaza kuona vijana wajinga wanavyozidi kuwa wazee wajinga.

Paul Makonda, simamia unachokiamini na yote yanawezakana tu. Natumai hiyo ndoto yako ya kuifanya Wilaya ya Kigamboni sehemu ya kivutio nchini na hata nje ya Tanzania inawezekana.

Alex Fredrick,

Dar es salaam

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani miaka yote aliyokuwa RC hiyo kigamboni ilikuwa ndani ya mkoa wa Katavi na leo imehamishiwa ndani ya mkoa wa Dar?Kama miaka yote kigamboni ipo ndani ya Dar alishindwa nini kuleta hayo maendeleo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..sidhani kama Makonda ana uwezo na vision ya kuibadilisha Kigamboni ikawa kama New Jersey.

..ili Kigamboni iwe kama New Jersey itabidi hali ya uchumi, kipato, na maisha, ya wana Kigamboni iimarike na sidhani kama Makonda anaelewa suala hilo. Anachowaza Makonda ni mahoteli na ma-showroom tu, amewasahau kabisa wananchi na wakazi wa Kigamboni.
Zero brain asamehewe jamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani miaka yote aliyokuwa RC hiyo kigamboni ilikuwa ndani ya mkoa wa Katavi na leo imehamishiwa ndani ya mkoa wa Dar?Kama miaka yote kigamboni ipo ndani ya Dar alishindwa nini kuleta hayo maendeleo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kesha hisi kuna kutemwa nini?
Nakumbuka ombi lake lile la "niruhusu niende Misri nikaiokoe Taifa Stars kulinda heshima ya nchi"
Akaruhusiwa aondoke siku hiyo hiyo, kilichotokea ni kwenda kuvuruga timu na kuambulia vipigo mfululizo na kuvunja umoja wa timu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo kwenye uzinduzi wa Ofisi za Wilaya ya Kigamboni, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amemuomba Mh. Rais Magufuli kwamba ampe kibali cha kuifanya Kigamboni kuwa moja ya wilaya bora hasa kwenye fursa za Uwekezaji na mengineyo

Nilitegemea humu JamiiForumS wadau tujikite kwenye kujadili HOJA na zaidi kutoa ushauri kuhusu hayo mawazo yake Makonda. Lakini kibaya na chakusikitisha sana tumeacha hoja na kuanza kumjadili Makonda binafsi.

Watanzania hasa kizazi cha leo siku hiziwamekuwa watu wakujadili majungu na sio fikra jadidi kuhusu ustawi wa Taifa letu.

Yaani sasa tumezalisha kizazi cha Roho ya korosho ambacho hakipendi kuona mtu anafanikiwa kabisa zaidi ya kuwaza mtu aharibikiwe

Charles Darwin mwanasayansi maarufu aliyepata kuvuma Uingereza karne ya 18 alipata kuhoji akili ya mtu mweusi na zaidi kwamba huenda inaulakini kwa hoja yake kuwa huwa tunafikira sawasawa?

Mark Twain naye alipata kusema hivi: Jambo linalomshangaza kuona vijana wajinga wanavyozidi kuwa wazee wajinga.

Paul Makonda, simamia unachokiamini na yote yanawezakana tu. Natumai hiyo ndoto yako ya kuifanya Wilaya ya Kigamboni sehemu ya kivutio nchini na hata nje ya Tanzania inawezekana.

Alex Fredrick,

Dar es Salaam

Sent using Jamii Forums mobile app

Alishatoa ruhusa ngapi za namna hii???? na hawa watu kwa nini hawa watu wanalinganisha majengo tu, hali za maisha ya watu na utawala bora hawaoni huko.
 
Nikukumbushe wewe mleta mada kuwa Tanzania tupo karne ya 19 bishara yakusema kigamboni ya kisasa ni stories za ku. Assume tu

Waliopo karne 21 hakuna vitu vya kijinga kama vilivyopo hapa...
 
Back
Top Bottom