Tujadili lipi? Katibu Mkuu wa CHADEMA au Wakuu wa Mikoa

mcubic

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
10,307
6,514
Matukio haya mawili yametokea kwa kufuatana, CDM wamepata katibu mpya hiyo jana, huku majadiliano yakiendelea kuhusu SG wa CDM mkuu wa nchi nae kateua wakuu wa mikoa

Je JPM kafanya kusudi ili SG asipate airtime?

Michango hasi na chanya inakaribishwa.....
 
Back
Top Bottom