Ndio zinakuwa connected na TRA na kwa sasa TRA Watahitaji kujiridhisha kama kweli wewe ni muhusika,Hivi zinakua connected na system ya TRA?
Good pia naona watanzania wameipokea vzuri sana na tangu nianze kuiuza imesaidia watu wengi hasa upande wa gharama na kufuatilia taarifa za mauzo yao.Hii mnona tumechelewa sana.kuwa nayo ,mi Kuna nchi nilienda 2016 na walikuwa tayari wanatumia receipt kwa.njia hii.ukishaingiza details zako.unapokea receipt yako unavyotaka kwa simu ,email au WhatsApp.
Bei kwa sasa ni 250,000 hii ni Ile ambayo hautaambiwa baada ya mwezi ulipie au limit yoyote katika utumiaji. Mahitaji ni kuwa na TIN ya biashara na Kitambulisho cha mkurugenzi au chako mwenye TIN.Bei ya mashine.
Mambo gàni unatakiwa úwe nayo ili uitumie hiyo app
Okay, bei kwa mtu anaeanza kabisa. (Yaani ana TIN tu) ni kiasi gani kwa estimation.Ndio zinakuwa connected na TRA na kwa sasa TRA Watahitaji kujiridhisha kama kweli wewe ni muhusika,
Iko hivi.
Kipindi cha nyuma tulikuwa tunafanya wenyewe kila kitu mwanzo mwisho yaan unatupatia TIN na kitambulisho kiash tunakuletea mashine ikiwa tayari, ila Kuna watu wakawa wanatumia nafasi hiyo kutengeneza mashine ambayo mwenye TIN au kampuni haitambui ( yaan nakupatia mashine yake Kisha natumia taarifa zako kuomba mashine nyingine ambayo hauitambui) na Kisha watu Hao wanaanza kuuza risiti mtaani bila wewe mhusika kuwa na taarifa na mwisho wa siku ukienda TRA unakutana na deni kubwa ambalo haulitambui.
hivyo basi ili kuondoa hiyo ikawekwa utaratibu kuwa baada ya sisi mawakala kufanya maombi ya mashine yako itabidi wewe ufikie TRA kudhibitisha mashine hiyo kwahiyo itapita Ile uliyodhibitisha tu ambayo haujadhibitisha haitapitishwa.
Okay, kumbe umeshajibu hapa.Bei kwa sasa ni 250,000 hii ni Ile ambayo hautaambiwa baada ya mwezi ulipie au limit yoyote katika utumiaji. Mahitaji ni kuwa na TIN ya biashara na Kitambulisho cha mkurugenzi au chako mwenye TIN.
Mhimu: Uwe unefanya makadilio hii itarahisha sana ndani ya siku moja unaweza kufanikisha kuwa na mashine 100%
Yes ila 250,000 hiyo ni complete na printer yake Kuna wale wengine wateja wao sio mpaka uwapatie risiti ya karatasi yaan unweza kuwatumia kwenye simu hiyo hauhitaji printer ni system peke yake ambapo bei yake ni 150,000 tu.Okay, kumbe umeshajibu hapa.
Bei kwa sasa ni 250,000 hii ni Ile ambayo hautaambiwa baada ya mwezi ulipie au limit yoyote katika utumiaji. Mahitaji ni kuwa na TIN ya biashara na Kitambulisho cha mkurugenzi au chako mwenye TIN.
Mhimu: Uwe unefanya makadilio hii itarahisha sana ndani ya siku moja unaweza kufanikisha kuwa na mashine 100%
Bei kwa sasa ni 250,000 hii ni Ile ambayo hautaambiwa baada ya mwezi ulipie au limit yoyote katika utumiaji. Mahitaji ni kuwa na TIN ya biashara na Kitambulisho cha mkurugenzi au chako mwenye TIN.
Mhimu: Uwe unefanya makadilio hii itarahisha sana ndani ya siku moja unaweza kufanikisha kuwa na mashine 100%
Leseni haiusiki huku TRA Boss.
TRA yeye anahusika na mapato kodi, umeingiza shiling ngapi unatakiwa ulipie shiling ngapi umeingiza kwa kufanya biashara gani hiyo ni ishu nyingine ambayo iko chini ya haashauri ambayo inakupa kibali au Leseni ya kufanya biashara fulani ila wanashirikiana.Sasa Efd machine itakataje Kodi Kwa biashara au kukadiria kodi Kwa biashara isiyo na Leseni?
Nieleweshe
TRA yeye anahusika na mapato kodi, umeingiza shiling ngapi unatakiwa ulipie shiling ngapi umeingiza kwa kufanya biashara gani hiyo ni ishu nyingine ambayo iko chini ya haashauri ambayo inakupa kibali au Leseni ya kufanya biashara fulani ila wanashirikiana.
Halmashari ndio watakuuliza tumekupatia kibali cha kuuza mahindi mbona unauza maandazi?
Ndio maana ili upate Leseni lazima uwe na taxclearance kwamba TRA mmemalizana na mojawapo ya kumaliza TRA ni kuwa na hiyo mashine nk.
Hii Tanzania Kupitia Kampuni ya Pergamon Ulianzishwa Mwaka 2015 kupitia App yao ya Incodroid lakini haikuwa na muitikio mkubwa. Ilitumika na baadhi ya Supermarkets na Hotels.Hii mnona tumechelewa sana.kuwa nayo ,mi Kuna nchi nilienda 2016 na walikuwa tayari wanatumia receipt kwa.njia hii.ukishaingiza details zako.unapokea receipt yako unavyotaka kwa simu ,email au WhatsApp.