Mjadala wa Mvua, Ukame, Njaa, Vyakula, bei ya mazao... Tungepaswa kujifunza zaidi kuhusu "Irrigation schemes"... Kilimo cha umwagiliaji kama mabwana Kilimo wataalamu wa udongo na Mamlaka ya Hali ya hewa watusaidie kutoa majawabu. Ni kweli mvua muhimu lakini tuondoke kwenye akili za ujima twende kwenye zama Hizi..." Kilimo cha umwagiliaji"
" Serikali haijahusika kuzuia mvua" yes we know...Mnapotuambia mnatuumiza mjue wengine mazao yetu yamekauka...Na TMA wanakazia Hali ya mvua sio intact kama miaka yote.
... Nimekumbuka mwaka Fulani Mkuu moja alipokuwa south Afrika alisemaga :
BBC: kila mwaka mnasema tatizo la Umeme ni kutokana na kupungua kina cha Maji, je Kuna Mpango gani wa kuhakikisha Umeme wa uhakika?
Mkuu: Serikali hainyeshi mvua....hahahah