Kanuniya68
Senior Member
- May 26, 2013
- 157
- 44
Inaelekea we una Zitophobia, Zito ndiye aliyoijenga hoja vizuri leo mpaka kukubaliwa kuongezwa muda wa majadiliano bungeni, tena ndiye mbunge wa kwanza kupendekeza Waziri Mkuu na mawaziri wake, unaleta za Ubavicha hapa.
Aliye anza ni Lissu yaan leo lissu ndio man of the match sema tu kunawatu mna mahaba na zitto mpaka mnapoteza ufaham, hakuma mbunhe aliye toa hoja zenye mashiko km Lissu leo bungeni
Aliye anza ni Lissu yaan leo lissu ndio man of the match sema tu kunawatu mna mahaba na zitto mpaka mnapoteza ufaham, hakuma mbunhe aliye toa hoja zenye mashiko km Lissu leo bungeni
Wakati akifanya majumuisho ya hoja ya kamati,mh.lembeli amesema 'ukiona mtu anatetewa kwa nguvu wakati ni mkosaji basi utafakari sana,kuna jambo limejificha hapo'..ametoa kauli hyo kuhoji waliokua wakimtetea waziri d.mathayo! Je, alimlenga Zito?
man of the match walikuwa wengi lakini mimi namuona sana kama kangi lugola ndiye aliyeongea kwa muonekano wa kutokuwa mnafiki na hasa akiwa MCCMAliye anza ni Lissu yaan leo lissu ndio man of the match sema tu kunawatu mna mahaba na zitto mpaka mnapoteza ufaham, hakuma mbunhe aliye toa hoja zenye mashiko km Lissu leo bungeni
Lembeli naye mnafiki..ni mtu anayetaka madaraka. Mara nyingi sana amekuwa anautamani u-waziri wa maliasili na utalii. Huyu lazima wateuzi wa mawaziri mkaenaye kwa makini. Aliivuruga sana tanapa na ni mtu asiye mtendaji bali ni mwenye kupenda kujilimbikizia mali tu. Raisi kikwete please kuwa makini na mh james lembeli.