Tujadili:jinsi ya kucheza beki ya pembeni Right/left

Its Pancho

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
14,138
22,507
Kwa kawaida kwenye team kila mtu ana nafasi yake uwanjani.
leo tuongelee jinsi ya kucheza beki ya pembeni na
naongea kama mchezaji ambaye nacheza mpira mitaani. so kama kuna kosa mtarekebisha!

Tuanze na beki za pembeni yaani kulia na kushoto!

Kwanza kabisa kucheza beki ya pembeni sio kazi rahisi! inahitaji vitu vingi..

1- uwe na mawasiliano mazuri na beki za kati na kipa..
Hii ni lazima hasa kwa kipa maana anaweza kukuanzshia mpira bila kutarajia so inabidi uwe makini iwapo umefungua nafasi nzuri! usizubae!

2-uwe na mahusiano mazuri na wings wako..
Lazima uwe na mahusiano mazuri na winga wako wa pembeni/mbele yako.
Sababu akiwa anazubaa na kuacha kukusaidia kukaba. utakuwa unakaba watu wawili yaani beki na winga wa team pinzani wanapanda wote so itakupa tabu.
Winga yeye atakuwa anampa presha yule beki wa pembeni asipitishe mpira kuja kwa winga wako unayemkaba na Hatimaye utamdhibiti! So maelewano ni muhimu!

3-uwe na kasi, pumzi,, stamina etc.
Kuwa na kasi na pumzi ina maana una uwezo wa kupanda na kumwaga maji na kushuka kukaba muda unaotakiwa kufanya hivyo! Usiwe kama zana coulibaly (joke) 😂😂
Stamina inasaidia pia hasa miguuni!.

4-jinsi ya kukaba sasa.
Kwanza kabisa ukitaka ufanikiwe kumzuia winga wako
Daima usimkabe yeye muda wote yaani Man to Man! Wewe ziba njia mpira unapopitishwa yaani ndani ya dakika kumi na tano za mwanzo inabidi ujue wapinzani wanapitisha mpira kwenye njia gani!
Daima winga akiwa anakufuata na mpira usimfuate moja kwa moja bali nenda kiubavu ubavu yaani tagi ubavu 😂😂 hii inasaidia uweze kuona nyuma kwako na mbele kwake pia! kusudi hata akikufinya au kupiga kanzu uweze kugeuka haraka tofauti na ukienda mwili mzima!

Ongea na beki wa kati mmoja wapo 5 au 4 awe anasave upande wako pale ukichelewa kurudi au utakapozidiwa pia atakusaidia kucheza na kutengeneza offside na kiujumla kupunguza nguvu ya mashambulizi

Jaribu sasa..
Ntakuja na tips za kukusaidia unapokuwa central defender!/beki wa kati

Nakaribisha kukosolewa maoni pia

Pancho boy..
 
Iko poa sana kwa nyongeza ni kuwa kwa beki 3 anayecheza kwenye timu inayoshambulia sana kupitia katikati asikae mbali na eneo la kiungo mkabaji wake pale anapokwenda kusaidia kushambulia hii itasaidia kujikinga na counter attack
 
sawa kabisa mkuu upo vizuri
 
Back
Top Bottom