Ikilazimika kutumia Condom iwe ni dharura ila isiwe mazoea SAWAAA??
Kwanza unatumia condom kwa sababu humwamini.
Na kwa sababu kumwamini, kwanini muwe na uhusiano wa kimapenzi?
Au ukiaumua awe mpenzi wako, kapimeni ANGAZA?? ni BURE.
Pia Condom zinaumiza, hasa wakati unafika kileleni na kukojoa. Zikitoka mbegu, zinatoka kwa nguvu kubwa na upepo. Sasa condom inazuia upepo.
Pia waweza kujamiiana bila condom.
Kwanza hakikisha hupati mchubuko, fanya romance kama dakika 10 hivi, ndipo uanze kazi.
ukianza kazi, ukipiga bao nawa haraka kwa maji ya baridi.
mh jamani naomba liamishiwe kwenye hoja au mapenzi kabla wachangiaji awajaanza balaa yamawazo pls niombi mkuu
Unataka koproduce condoms hapahapa bongo
Kiongozi hili desa hapa litakusaidia vya kutosha kupata majibu ya baadhi ya maswali yako View attachment malecondoms_specs_procurement_2010.pdfmsishtuke na wala sijakosea hii thread ndo mahala pake hapa
Tujaldili
- Process au hatua gani zinafanyika kuanzia mwanzo hadi mwisho mpaka bidhaa ya kondom ikazalishwa
- Malighafi/raw material vitu gani na vifaa gani vinatumika kutengeza condom
- Kuna specifation na aina ngapi za Condom ?
Karibuni tujadili condom from technological perspective or point of view
Kuna challenge ya ku-design bidhaa kama hiyo. Unachotaka ku-protect siyo ulimi tu bali mdomo mzima. Labda kama hiyo condom ni for pleasure purpose na siyo kujilinda na maradhi.wadau wa JF teknology mnanaje tukiazsiha bidhaa ya kondom za ulimi? Tukachukue hakimiliki ya hili wazo. tuwe na exclusive rights dunia nzima mtu akitaka kuanzisha anatulipa.
Condom za ulimi zenye ladha ya machungwa, ukwaju, zabibu, ubuyu
teh teh teh
wadau wa jf teknology mnanaje tukiazsiha bidhaa ya kondom za ulimi? tukachukue hakimiliki ya hili wazo. Tuwe na exclusive rights dunia nzima mtu akitaka kuanzisha anatulipa.
Condom za ulimi zenye ladha ya machungwa, ukwaju, zabibu, ubuyu
teh teh teh