ECA kama upo dar es salaam kuna bingwa mmoja anaitwa silunka kwa account.huyu jamaa huwa anapigisha pindi mapambano mwenge mkuu.la sivyo ngoja wengine waje.pia mchikichini kuna jamaa anaitwa henry sr wa account.yupo fresh mkuu.na eca hakunaga twishen ya commerce na masomo mengine,labda uchumi na account na hesabu kama haupo fresh.muhimu zaidi accounting.kuna dogo langu mwaka jana aliondoka kasha kata topic nyingi so now advance haimpi shida sana na anasoma goverment garanoc