Yupo DSM maeneo yapi?Wadau Habari?
Msaada wa kujua vituo vya kufundishia Tuition vilivyopo Dar kwa ajili ya manafunzi wanaoingia kidato cha NNE au waliopo kidato cha nne.
Ninandugu hapa katoka kijijini na anatamani kujifunza masomo ya msingi kabla ya kurudi shule.