Tuition Tuition: Wakazi wa Arusha

Tuition Tuition: Wakazi wa Arusha

Mzee Manywele

Member
Joined
Jun 30, 2014
Posts
24
Reaction score
0
Masomo ya ziada kwa wanafunzi wa kidato cha kwanza mpaka cha sita, wanafunzi wanaorudia mitihani (PC) na wanafunzi wanaofanya mitihani ya maarifa (QT),Masomo yatolewayo
1. Chemistry
2. Physics
3. Basic Mathematics
4. Biology
5. History
6. English and Literature
7. Geography

Mahali: moshono Arusha katika ukumbi wa kanisa la KATOLIKI karibu kabisa na BARAA DISPENSARY

MUDA: KUANZIA SAA 9 ALASIRI MCHANA MPAKA 12 JIONI

NB; WANAOTAKA KUJIFUNZA KUONGEA KIINGERRZA PIA MNAKARIBISHWA
MASOMO YANAFUNDISHWA NA WALIMU WALIOBOBEA

NYOTE MNAKARIBISHWA
 
Sasa guys you have good idea ila tatizo approach yenu. Sasa ukisema ukumbi wa kanisani tayar kuna watu unawabagua.
Jesus himself was serious rebuke to re-use his father's tample as market place but recently you not only using but also advertising here. This is more worse and serious spirtual crime.
Tafuten kumbi neutral ambazo everyone anakuwa huru kwenda.
With regards
Your commentarian!!
 
Sie hatuna idea iliyonayo!kuna watu sio wakristu lakin wasoma shule za kikristu na wengine sio waislamu lakini wanasoma morogoro muslim university!kwa nn unafikiria udini sana@balimar
 
Watu tuna mawazo tofauti sana,wengine wana waza udini,wengine wizi,wengine uzinzi,wengine elimu nk

Sasa nakushauri ikiwa unaweza kuhamisha tuition center yako na kuja hapa Morovian,just 8 dakika kwa kutembea toka Mianzini traffic light/mataa kuna shule ambayo wanafunzi wake wanakuwa tayari wameshaondoka muda wa saa nane,kwa hiyo wewe unaweza kuja kutumia madarasa yake,pia kuna chumba kikubwa ambacho kipo FREE muda wote,hakitumiki na shule.
Halikadhalika kuna ukumbi mkubwa zaidi ya watu 300,ambao pia hutumika kukodishwa kwa shughuli za kijamii kama harusi nk.
Ikiwa utavutiwa nakukarisha kuja kupaona na tuongee zaidi.

Asante sana.
 
Masomo ya ziada kwa wanafunzi wa kidato cha kwanza mpaka cha sita, wanafunzi wanaorudia mitihani (PC) na wanafunzi wanaofanya mitihani ya maarifa (QT),Masomo yatolewayo
1. Chemistry
2. Physics
3. Basic Mathematics
4. Biology
5. History
6. English and Literature
7. Geography

Mahali: moshono Arusha katika ukumbi wa kanisa la KATOLIKI karibu kabisa na BARAA DISPENSARY

MUDA: KUANZIA SAA 9 ALASIRI MCHANA MPAKA 12 JIONI

NB; WANAOTAKA KUJIFUNZA KUONGEA KIINGERRZA PIA MNAKARIBISHWA
MASOMO YANAFUNDISHWA NA WALIMU WALIOBOBEA

NYOTE MNAKARIBISHWA
NAOMBA UFAFANUZI JUU YA HICHO KIPENGELE CHA
"SAA 9 ALASIRI MCHANA".
 
Hawa wakenya ni wasanii tu tangu lini ulishawahi kuona mwalimu mmoja anafundisha masomo 4.?

in short mpo chenga sawasawa na majirani zenu wa kituo cha Bamo(kwa Mr.Fred).. wezi sana
 
Mbaya zaidi walimu wao ni level ya Primary dheni wanafundisha dent wa I-VI,

Kwanini msifungue tuition kwa level ya primary bila shaka itawatoa pia..
 
Back
Top Bottom