Tuisaidie Serikali yetu kuboresha utoaji wa huduma

ugalila

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
652
599
Kumekuwa na urasimu mkubwa katika taasisi zote za serikali katika utoaji wa huduma Muhimu,
Mfano ukienda rita sasa hivi utazungushwa wiki nzima sijui kalipie nini, sijui ukasainiwe n Nani, mara jamaa wa kuchapisha vyeti hayupo nk ukienda uhamiaji urasimu ndo usiseme, TRA yaleyale na taasisi nyingine nyingi ukienda unakutana na rushwa ambazo zinachangiwa na urasimu wa kupewa huduma,
Kwa umoja wetu tupendekeze njia bora za kutatua changamoto ya utoaji huduma serikalini ili kuongeza ufanisi katika utoaji huduma na kuondoa mianya ya rushwa, naamini kupitia michango yetu itawasaidia watendeji wapya wa serikali kuleta mabadiliko ndani ya taasisi zao
 
Back
Top Bottom