Tuisaidie Rwanda kufuta makovu ya Genoside yao

Si utani, cha mtu mavi!
Kwa miaka 200 tumekuwa watumwa,200 years chini ya ukoloni,I think this is an outcome.-Hallow Black man wake up Hakika,Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa,Any way TIME WILL GIVE EVERY THING INTO LIGHT
 
Nakuuliza tena...Kagame must be one powerful president wa ka nchi "kadogo" ambae ana uwezo wa kumuamurisha Obama "akalie mafaili" hewa ya Rwanda. Demented fellow.

Kagame alikuwa anatumika na rais wa Marekani hasa Bush kuleta vurugu Kongo ili marekani wakwapue madini, wakati kagame ananufaika na vifo vya wahutu Marekani wananufaika na madini. Baada ya mzee Laurent Kabila kukataa mikataba ya kipumbavu ya marekani na kuamua ku dili na wachina kwa masharti nafuu, tunajua yaliyompata. Sasa mikataba ya wachina imefutwa, wamarekani wanachekelea kurudi kwa mikataba yao feki, na Kagame anafurahia vifo vya wahutu.

Na kwa msaada wa marekani wanataka kila mtu duniani aamini uongo wake kuwa eti watusi ndio waliokufa wengi kumbe ni kinyume chake.

Ila nadhani hajui tabia za wamarekani, hawana rafiki wa kudumu ila wana maslahi ya kudumu, sasa wanaanza kumgeuka, na mwisho watamtoa kafara kwa maslahi yao!
 

Mjinga wewe na mse.nge. hujui lolote kuhusu tz mbwa wewe. Unategemea ipo siku watz watakimbilia kenya...wewe ni mpumbavu kabisa...think by your head not your as.s hole. Kama unaomba eti watz wachinjane kama ninui na upu.mbavu wenu...you will ptay for a long time. Politicians come and go..we dont worship them kama ninyi wakenya was.enge.
 

Tofautisha mambo,huwezi linganisha INTERAHAMWE NA M23...interahamwe ni washiriki wa mauaji ya kimbali yanayotambulika dunia nzima....huwezi linganisha na watu waliofia congo kwa kipindupindu.M23 ilikua ikipambana na majeshi ya DRC only....haikushambulia raia.
 

waswahili wasema hujafa hujaumbika....watanzania endeleeni kufungamana na interahamwe mwisho wake mtashitukia mko kakuma...angalia wote waliojaribu kushirikiana na interahamwe hawana amani na msanii mkuu analijua hilo ndio maana katuliza boli...huko marekani.
 

kakojoe ulale
 

Hapa hatuangalii idadi..cha msingi mtusi aliuawa..wawe 5..10..11...20...500000..au 1000000...mtusi aliuawa tena bila hatia na kilichotokea ni Genocide hilo halipingwi,nakama wahutu walikufa wengi kuzidi watusi ni kwasababu ilikua ni wakati wavita na kingine walikua wengi vitani,mimi sioni ajabu kufakwao kwani walikua wamejihami kwa silaha,hayo yakugeuka yanajulikana ndio maana pk anaangalia kwanza masilahi ya wanyarwanda.
 

..hakuna tofauti RDF, INTERAHAMWE, M23, yote ni makundi ya WAUWAJI.

..Kwa watu kama wewe "never again" ni kwa Watutsi tu, wakiuawa jamii nyingine it is fine with you.

cc jMali, mchambawima1, JustDoItNow, lawmaina78
 
Last edited by a moderator:
No wonder unaonekana useless tuu and nobody takes you seriously Zaidi ya kuonekana hater tuu

..YES, I am a hater, of mass murderers wa Interahamwe na RDF.

..wewe unayetetea wauaji unadhani ni mtu wa maana, na unachukuliwa seriously?
 
..hakuna tofauti RDF, INTERAHAMWE, M23, yote ni makundi ya WAUWAJI.

..Kwa watu kama wewe "never again" ni kwa Watutsi tu, wakiuawa jamii nyingine it is fine with you.

cc jMali, mchambawima1, JustDoItNow, lawmaina78

Ok basi punguza kulopoka!!! nenda kasome kwenye ile post nyingine nimekupa darasa la kujuwa kutofautisha mauwaji ya kimbali na ajali kazini(vita)
 
Last edited by a moderator:
Ok basi punguza kulopoka!!! nenda kasome kwenye ile post nyingine nimekupa darasa la kujuwa kutofautisha mauwaji ya kimbali na ajali kazini(vita)

..nimekwambia RDF, INTERAHAMWE, M23, ni makundi ya mauaji.

..sasa hebu nieleze what is your objection kwa wahusika wote wa mauaji ya Rwanda na Congo kupelekwa mbele ya mahakama ya kimataifa.

..hivi unaamini Kagame, Kabarebe, Nyamwasa, Nkunda, hawapaswi kujibu mashtaka kutokana na mauaji yaliyotokea Rwanda na Congo?

..wacha kutumikia wauaji. simamia ukweli. Wahutu na Wacongomani wana haki ya kuishi sawasawa na jamii nyingine.
 
..YES, I am a hater, of mass murderers wa Interahamwe na RDF.

..wewe unayetetea wauaji unadhani ni mtu wa maana, na unachukuliwa seriously?

More of in love with interahamwe.
 

Hivi Bush alishapelekwa ICC kwa mauaji ya wa Iraq? Na sio kwamba hakuwaua! Wamekufa wengi na bado wanaendelea kufa. Unajua kwa nini? Kwa sababu ni casualities of war!
 

Hata siku moja!!! By the way I like the way you twist the facts... Sijuwi ni ujuzi mdogo wa mambo au you have an agenda, wewe bwana naomba kwanza ujuwe kutofautisha mambo ndio tuongee... Hivi wale waganda mlio uwa kipindi kile ilikuwaje? Nafikiri ukiweza kunifafanulia hicho ndio tunaweza kuendelea.
 
Hivi Bush alishapelekwa ICC kwa mauaji ya wa Iraq? Na sio kwamba hakuwaua! Wamekufa wengi na bado wanaendelea kufa. Unajua kwa nini? Kwa sababu ni casualities of war!

..kwasababu Bush hajapelekwa ICC basi unaona sawa Wahutu na Wacongomani kuuwawa na sheria isichukue mkondo wake?

..hata Interahamwe utetezi wao unafanana na wa kwako, kwamba kulikuwa na vita.

..hivi huoni haya kutoa utetezi sawa na Interahamwe?
 

..hivi unajua mahusiano ya Watanzania na Waganda?

..kule Uganda wa-Tanzania/JWTZ wanaitwa wakombozi.

..sasa hebu niambie kama Rwanda na RDF mnaweza kupewa heshima hiyo na Wacongomani.

..nimeuliza swali dogo tu: Je, Kagame, Kabarebe, Nyamwasa, Nkunda, ni ICC candidate?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…