mageuzi1992
JF-Expert Member
- Apr 9, 2010
- 2,502
- 257
Kutokana na kufanya vibaya kwa timu ya Taifa wakati fulani Rais Msataafu Alhaj Ally Hassan Mwinyi aliwahi kuipa jina '' KICHWA CHA MWENDAWAZIMU'
Sasa mimi kutokana na kuiona mara ifanye vizuri mara ifanye vibaye nimefikiria jina ambalo naweza kuinikiname
'''''''''''''''''''' PRESURE INAPANDA PRESURE INASHUKA''' Wewe unaiitaje?
black magic stars au boda boda union.lameck madelu bomb squad
Ili uweze kujua jina la kuipa taifa stars inabidi uweze ku think outside the box. Siku wameifunga taifa stars, watangazaji wa Uganda walionekana kushangaa na badala ya kusherehekea ushindi walijikuta wana analyse sababu za tukio lile wakistaajabu yafuatayo: kwa nini hakuna watu uwanjani wakati Tanzania inajulikana nchi ya wapenda soka na huwa wanajaza viwanja? wakajipa majibu kuwa huenda ni sababu wa tz watu wa klabu zao simba na yanga na si timu ya taifa. Lakini wakasema hii si ndiyo timu iliyokuwa inawakilisha kwenye kufuzu kombe la dunia kasoro wachezaji wa 2? jibu labda hawakuwa motivated. Halafu mbona tumewafunga mfululizo sindiyo ingekuwa motisha ya kucheza vizuri ili kulipa kisasi? wakakosa majibu mwishowe wakasema, huenda kwa kuwa Uganda inaongoza kwa ukanda huu inawezekana tunawazidi sana kiasi hata timu ya pili ya cranes inawashinda. Waka conclude kuwa taifa stars kampala itakiona cha moto.Kutokana na kufanya vibaya kwa timu ya Taifa wakati fulani Rais Msataafu Alhaj Ally Hassan Mwinyi aliwahi kuipa jina '' KICHWA CHA MWENDAWAZIMU''
Sasa mimi kutokana na kuiona mara ifanye vizuri mara ifanye vibaye nimefikiria jina ambalo naweza kuinikiname
'''''''''''''''''''' PRESURE INAPANDA PRESURE INASHUKA''' Wewe unaiitaje?
Nchemba fc.