Tuiombee Yanga ishinde

Tuiombee Yanga ishinde

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,265
Reaction score
98,318
Nikiwa mtanzania na mzalendo, nawaomba watanzania wenzangu tuiombee Yanga ktk mchezo wao leo washinde dhidi ya waarabu.Mungu ibariki Tanzania!!
 
Ili iweje mkuu cha kujipa kazi hivi nini, miguu yao inatosha usivuruge akili yako eti kisa yanga.
 
FT
Yanga 03
Farao 01


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Ili iweje mkuu cha kujipa kazi hivi nini, miguu yao inatosha usivuruge akili yako eti kisa yanga.

Ni katika kuonyesha uzalendo kwani hawa jamaa wanaiwakilisha nchi mkuu!!!
 
Wakicheza simba,yanga ndo wakwanza kuwaunga mkono wapinzani mfano simba vs mazembe....
 
Punzika usijipe kazi watawakilisha Nchi kupitia miguu yao

Baasi sawa, ngojea sisi wazalendo tusogelee National stadium tukawape support wawakilishi pekee wa taifa tukufu la Tanganyika!!
 
Yanga hoyeeeeeeeeee.......mnyama ......ziiiiiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom