Inapitishwa katika njia ngumu mno iliyojaa miba, mbigili na kila aina ya uchafu kisa wasiyempenda anagombea uenyekiti taifa!
Ni kwavile tu ni wazito wa kusoma alama za nyakati. Lakini huu ni wakati wa Lissu. Simple and clear.
Kadiri mamlaka zinavyozidi kuleta chokochoko nyuma ya pazia ndivyo wanavyozidi kumjenga na kumuongezea hamasa na support!
Kumpiga chura teke ni kumuongezea mwendo.
Mwamba asikubali kabisa kutumika kwa namna yoyote ile! Anawajua fika chama chawala ni nani.
Napata hisia za ndani kwamba yote anayofanya kwasasa ni mbinu ya kuwazubaisha maadui wazipate picha halisi na atakuja kujitoa mwishoni na kumuunga mkono makamu wake.
Na ndio maana katika MOJA ya hotuba zake alisema CHADEMA KITATOKA SALAMA KWENYE HUU UCHAGUZI KIKIWA WAMOJA IMARA NA WENYE NGUVU ZAIDI
Mungu BABA ibariki na kuilinda CHADEMA. Ni wakati wa LissuπͺπΏππ¨
View attachment 3182144
Lissu azidi kujipanga na kusonga mbele, wakati huu sasa ni WA kuanzia kuwashawishi wapiga kura umuhimu wa lissu kwa chadema na mabadiliko.Mbowd kujitoa ni ndotoInapitishwa katika njia ngumu mno iliyojaa miba, mbigili na kila aina ya uchafu kisa wasiyempenda anagombea uenyekiti taifa!
Ni kwavile tu ni wazito wa kusoma alama za nyakati. Lakini huu ni wakati wa Lissu. Simple and clear.
Kadiri mamlaka zinavyozidi kuleta chokochoko nyuma ya pazia ndivyo wanavyozidi kumjenga na kumuongezea hamasa na support!
Kumpiga chura teke ni kumuongezea mwendo.
Mwamba asikubali kabisa kutumika kwa namna yoyote ile! Anawajua fika chama chawala ni nani.
Napata hisia za ndani kwamba yote anayofanya kwasasa ni mbinu ya kuwazubaisha maadui wazipate picha halisi na atakuja kujitoa mwishoni na kumuunga mkono makamu wake.
Na ndio maana katika MOJA ya hotuba zake alisema CHADEMA KITATOKA SALAMA KWENYE HUU UCHAGUZI KIKIWA WAMOJA IMARA NA WENYE NGUVU ZAIDI
Mungu BABA ibariki na kuilinda CHADEMA. Ni wakati wa LissuπͺπΏππ¨
View attachment 3182144
Mi ntakaa mbali na haya mambo ya siasaSasa rasmi ni chaga development management (chadema) karibu chauma mkuu.View attachment 3182182
Maslahi binafsi, anakitumia chama kujinufaisha.Lazima kuna kitu nyuma ya pazia kinachomfanya Mbowe ang'ang'anie kiti.
..Kiukweli demokrasia ichukue mkondo wake, tunamuunga mkono lissu tumtafutie kura kwa kuwashawishi wajumbeKwa nini wapambe wa Lissu hawataki akutane na Mbowe kwenye debe? Yaani Lissu kwa nini apite bila ushindani? Kuna mtu kamuengua Lissu? So yuko kwenye mpambano? Sasa mnalia nini?.
Bwahabwahabwahabwahaaaaaaa!!kwani umeongezewa nini tulivyochangia!
Kama n hivyo basi ndio sababu ya kuendelea kuwepo kwenye kiti.Maslahi binafsi, anakitumia chama kujinufaisha.
Mshana wewe huwa ni mkweli kwenye maandiko mengi sanaaa. Hapa umenena.Inapitishwa katika njia ngumu mno iliyojaa miba, mbigili na kila aina ya uchafu kisa wasiyempenda anagombea uenyekiti taifa!
Ni kwavile tu ni wazito wa kusoma alama za nyakati. Lakini huu ni wakati wa Lissu. Simple and clear.
Kadiri mamlaka zinavyozidi kuleta chokochoko nyuma ya pazia ndivyo wanavyozidi kumjenga na kumuongezea hamasa na support!
Kumpiga chura teke ni kumuongezea mwendo.
Mwamba asikubali kabisa kutumika kwa namna yoyote ile! Anawajua fika chama chawala ni nani.
Napata hisia za ndani kwamba yote anayofanya kwasasa ni mbinu ya kuwazubaisha maadui wazipate picha halisi na atakuja kujitoa mwishoni na kumuunga mkono makamu wake.
Na ndio maana katika MOJA ya hotuba zake alisema CHADEMA KITATOKA SALAMA KWENYE HUU UCHAGUZI KIKIWA WAMOJA IMARA NA WENYE NGUVU ZAIDI
Mungu BABA ibariki na kuilinda CHADEMA. Ni wakati wa LissuπͺπΏππ¨
View attachment 3182144
Sasa kama hakuna tatizo kubwa huko Chadema kwa sababu tundu kagombea uenyekiti kwanini hamkai kimya mkaendelea na huo uΓ§haguzi?Lissu kugombea uenyekiti limekuwa tatizo kubwa nje ya CHADEMA kuliko ndani ya CHADEMA yenyewe
CHADEMA haina shida, shida ipo kwa watu,watu waliiamini CHADEMA kutokana na watu waliomo, ikifa kitakuja kingine ambacho kitabeba tumaini la watanzania. CUF ilibeba tumaini la watanzania miaka hiyo ilipofika kikomo watu wakaangalia pengine.Inapitishwa katika njia ngumu mno iliyojaa miba, mbigili na kila aina ya uchafu kisa wasiyempenda anagombea uenyekiti taifa!
Ni kwavile tu ni wazito wa kusoma alama za nyakati. Lakini huu ni wakati wa Lissu. Simple and clear.
Kadiri mamlaka zinavyozidi kuleta chokochoko nyuma ya pazia ndivyo wanavyozidi kumjenga na kumuongezea hamasa na support!
Kumpiga chura teke ni kumuongezea mwendo.
Mwamba asikubali kabisa kutumika kwa namna yoyote ile! Anawajua fika chama chawala ni nani.
Napata hisia za ndani kwamba yote anayofanya kwasasa ni mbinu ya kuwazubaisha maadui wazipate picha halisi na atakuja kujitoa mwishoni na kumuunga mkono makamu wake.
Na ndio maana katika MOJA ya hotuba zake alisema CHADEMA KITATOKA SALAMA KWENYE HUU UCHAGUZI KIKIWA WAMOJA IMARA NA WENYE NGUVU ZAIDI
Mungu BABA ibariki na kuilinda CHADEMA. Ni wakati wa LissuπͺπΏππ¨
View attachment 3182144
Everything is happening for a reason !Inapitishwa katika njia ngumu mno iliyojaa miba, mbigili na kila aina ya uchafu kisa wasiyempenda anagombea uenyekiti taifa!
Ni kwavile tu ni wazito wa kusoma alama za nyakati. Lakini huu ni wakati wa Lissu. Simple and clear.
Kadiri mamlaka zinavyozidi kuleta chokochoko nyuma ya pazia ndivyo wanavyozidi kumjenga na kumuongezea hamasa na support!
Kumpiga chura teke ni kumuongezea mwendo.
Mwamba asikubali kabisa kutumika kwa namna yoyote ile! Anawajua fika chama chawala ni nani.
Napata hisia za ndani kwamba yote anayofanya kwasasa ni mbinu ya kuwazubaisha maadui wazipate picha halisi na atakuja kujitoa mwishoni na kumuunga mkono makamu wake.
Na ndio maana katika MOJA ya hotuba zake alisema CHADEMA KITATOKA SALAMA KWENYE HUU UCHAGUZI KIKIWA WAMOJA IMARA NA WENYE NGUVU ZAIDI
Mungu BABA ibariki na kuilinda CHADEMA. Ni wakati wa LissuπͺπΏππ¨
View attachment 3182144
Iko vile bandugu ππππ€π
Inapitishwa katika njia ngumu mno iliyojaa miba, mbigili na kila aina ya uchafu kisa wasiyempenda anagombea uenyekiti taifa!
Ni kwavile tu ni wazito wa kusoma alama za nyakati. Lakini huu ni wakati wa Lissu. Simple and clear.
Kadiri mamlaka zinavyozidi kuleta chokochoko nyuma ya pazia ndivyo wanavyozidi kumjenga na kumuongezea hamasa na support!
Kumpiga chura teke ni kumuongezea mwendo.
Mwamba asikubali kabisa kutumika kwa namna yoyote ile! Anawajua fika chama chawala ni nani.
Napata hisia za ndani kwamba yote anayofanya kwasasa ni mbinu ya kuwazubaisha maadui wazipate picha halisi na atakuja kujitoa mwishoni na kumuunga mkono makamu wake.
Na ndio maana katika MOJA ya hotuba zake alisema CHADEMA KITATOKA SALAMA KWENYE HUU UCHAGUZI KIKIWA WAMOJA IMARA NA WENYE NGUVU ZAIDI
Mungu BABA ibariki na kuilinda CHADEMA. Ni wakati wa LissuπͺπΏππ¨
View attachment 3182144
Hizi zibaki kama hisia for now, Mbowe hayuko smart hivyo, hotuba yake na lugha za supporters wake pia zinaeleza kitu tofauti na hisia zako.Napata hisia za ndani kwamba yote anayofanya kwasasa ni mbinu ya kuwazubaisha maadui wazipate picha halisi na atakuja kujitoa mwishoni na kumuunga mkono makamu wake.