Tuilinde jamani ya nchi yetu.

Richard chilongani

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
324
112
Nawaasa watanzania wote kwa pamoja tuwe wamoja ktk kuilinda nchi yetu.tuonyeshe mapenzi ya kweli ktk hili.kamwe tusikubali wanasiasa watu gawe kiimani,kidini,kisiasa kwamba tukashindwa kushirikiana katika maswala ya kijamii.amani
 
Na huo ndio ulinzi wa mali tuliyonayo watanzania. Bahati mbaya wezi wa amani, yaani waharibifu wa amani nchini waweza kuwa viongozi wa kisiasa kwa manufaa yao wenyewe. Tuwabaini, na tuwakatae, tuwatenge kabisa kwenye jamii ya Kitanzania
 
Nawaasa watanzania wote kwa pamoja tuwe wamoja ktk kuilinda nchi yetu.tuonyeshe mapenzi ya kweli ktk hili.kamwe tusikubali wanasiasa watu gawe kiimani,kidini,kisiasa kwamba tukashindwa kushirikiana katika maswala ya kijamii.amani
Swadakta!
 
Mkuu kila kona waliochagua machadema wanajuta.
Hamna mabadiliko yoyote ,hali inazidi kuwa mbaya.

Yalihubiri mabadiliko kudanganya wananchi
 
Unajuta ww uliyekuwa umezoea vya kunyonga ..vya kuchinja vinakupa tabu ...nyambafuu
 
Back
Top Bottom