Tuijadili TANESCO, tuweke unazi pembeni

Mwendazake alikua katili lakini alikua mtu mwenye kujali sana miundombinu huwezi sikia sababu za kitoto kama zinazotolewa sasa.Kuna hujuma ya Wazi hapa anzia kwenye Bwawa la Mwl Nyerere …njoo kwenye huu mgao inawezekana kuna mkubwa anataka aanzishe Kampuni ya umeme kuuzia tanesco zinatafutwa sababu watu hawaridhiki 🥲
 
CCM hawajawahi kuwaga na akili hata siku moja, waache tujue panapovuja

Mtaacha pavuje halafu mwishowake mtalowana kwani patakuwa hapazibiki!!! "USIPOZIBA UFA UTAJENGA UKUTA"!
Samia hajui kinachoendelea TANESCO na kama anajua ameaminishwa kuwa hayo anayofanya JANUARY ndio sahihi. Kumbukeni Kuwa mshauri wake mkuu ndio aliyekuwa na BEST RESULTS NOW project enzi yake IKULU ambao Jiwe aliufuta!! Yanayoendelea TANESCO ni muendelezo wa ufisadi wa Vasco Dagama!!!
 
Mwendazake alikua katili lakini alikua mtu mwenye kujali sana miundombinu huwezi sikia sababu za kitoto kama zinazotolewa sasa.Kuna hujuma ya Wazi hapa anzia kwenye Bwawa la Mwl Nyerere …njoo kwenye huu mgao inawezekana kuna mkubwa anataka aanzishe Kampuni ya umeme kuuzia tanesco zinatafutwa sababu watu hawaridhiki 🥲

Nakubaliana na wewe; chunguza historia ya Omar Issa Mwenyekiti mpya wa Tanesco na Mwanaidi Maajar ,na uhusiano wao na Vasco Dagama. Ndio hapo utajua Kuwa kuna njama zinafanyika kuhujumu shirika ilikuwepo sababu za kulivunja na kuliuza shirika!!!
Kupitia kwa Maajar wanapata mawakili wa kimarekani/Uingereza kuja kufanya kazi na JANUARY/TANESCO na kupitia kwao kuiibia nchi!!! This is a well ochestrated plan beyond Samia's cognitive powers.
 
Hivi huyu makamba alivyoivunja hiyo idara ya habari ya tanesco kwamba ndio inasababisha kukatikakatika kwa umeme au amewaadhibu kwa kosa gani? Wajuzi embu nisaidieni
Sometimes ili uonekane unafanya kazi ni kufanya kiki tu😅
 
Nakubaliana na wewe; chunguza historia ya Omar Issa Mwenyekiti mpya wa Tanesco na Mwanaidi Maajar ,na uhusiano wao na Vasco Dagama. Ndio hapo utajua Kuwa kuna njama zinafanyika kuhujumu shirika ilikuwepo sababu za kulivunja na kuliuza shirika!!!
Kupitia kwa Maajar wanapata mawakili wa kimarekani/Uingereza kuja kufanya kazi na JANUARY/TANESCO na kupitia kwao kuiibia nchi!!! This is a well ochestrated plan beyond Samia's cognitive powers.
Kuna wakati tunahitaji mahakama za gachacha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom