Mwalla kwani wewe ni mtanzania?? Msalimie mama kayaii.
Mwalla kwani wewe ni mtanzania?? Msalimie mama kayaii.
Kwa hiyo Tanzania hatuna maendeleoa na kwanini umetoa mfano Kenya tu wakati sisi kuna mataifa mengi tumeacha mbali sana na kwa vigezo na vipimo vya maendelo ni dhana pana unapaswa kuainisha hoja yako
Wakinya buanaSio kupinga tuu kila wakati, wakati mwingine mtu akitoa hoja la kweli zingatia
Wakinya buana
Hawa watu tumewasaidia sanaUtaelewa kwamba Kenya ni nchi karimu sana, na hasa kwa ndugu zetu wabongo!! Mr Nice alipokuwa ameishiwa, alikuja Kenya na kidogo tukampa msaada!!
Sasa huo nao mfano?Utaelewa kwamba Kenya ni nchi karimu sana, na hasa kwa ndugu zetu wabongo!! Mr Nice alipokuwa ameishiwa, alikuja Kenya na kidogo tukampa msaada!!
tuusan mbona unachukia wakenya jinsi hii?Sasa huo nao mfano?
Ukarimu na uafrika ni uji na mgonjwa, ila kwa East Africa wakarimu zaidi ni watz. Leo wakenya wengi mko huku, tulishayasau ya nyuma kwa ukarimu wetu. Sisi tungaliwatendea ubaya ninyi msingeishia kulaumu tu.Utaelewa kwamba Kenya ni nchi karimu sana, na hasa kwa ndugu zetu wabongo!! Mr Nice alipokuwa ameishiwa, alikuja Kenya na kidogo tukampa msaada!!
Huyu jamaa tuusan, ni mtu wa chuki na hasira ambazo hazina maana yoyote!! Siku nyingi humfanya wakukurupuka kimtindo!!! Mimi nimeshangaa sana kuona mtu aina hii ya Tuusan!!! Wivu, chuki na hasira za burebure!!!tuusan mbona unachukia wakenya jinsi hii?
Ukarimu na uafrika ni uji na mgonjwa, ila kwa East Africa wakarimu zaidi ni watz. Leo wakenya wengi mko huku, tulishayasau ya nyuma kwa ukarimu wetu. Sisi tungaliwatendea ubaya ninyi msingeishia kulaumu tu.
Elfu sita inaweza kuwa ni makampuni na biashara za wakenya tu Tz.Wewe umesikia wapemba elfu sita wanaishi huku Kenya, sehemu moja kule lungalunga bila vitambulisho??? Sahi wanataka wawe Raia wa Kenya!! Na tutawapa!!! Unaona si ukarimu huo???
Unajua me nimeona mfano hai Jana Yule mama mkenya aliyejitoa muhanga mbele ya MAGU kuwa anadhulumiwa haki yake.Sio kupinga tuu kila wakati, wakati mwingine mtu akitoa hoja la kweli zingatia
Ache longolongo watz mnapenda longolongo sana kama SIZONJE.Siwachikii and never will...Ila mnapoongea au kutoa mifano nisioielewa sina budi kuuliza