Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 15,335
- 24,232
Mkuu hizo sehemu si za kusukuma guta au kupanga nyanya na mitumba.Hatuwezi kumuuzia Nchi mchina sisi
Serkali itajenga barabara hiyo na itatoza kodi
Ni upumbavu wa hali ya juu kuruhusu beberu kukusanya kodi kwenye Nchi huru
Mkuu hizo sehemu si za kusukuma guta au kupanga nyanya na mitumba.
Sehemu yako ya mtaa wa Kongo bado itakuwepo.
Mliozoea kupanda punda mko wengi.Hatuwezi kuruhusu mabeberu yaje yakusanye kodi kwenye Nchi huru
Km unaipenda kenya hamia kule
Hiyo haitatokea
Hatuwezi kumuuzia Nchi mchina sisi
Serkali itajenga barabara hiyo na itatoza kodi
Ni upumbavu wa hali ya juu kuruhusu beberu kukusanya kodi kwenye Nchi huru
China Japan Indonesia German America South Africa hizo barabara za zipo nyingi na wanatengeneza pesa nyingi sana kwani watumiaji wa barabara za haraka wapo wengi sana, mfano kama Goungzhou na Hongkong hizo barabara zipo juu flyover ndefu za km kibao ukitoka ukalipia unakwenda mpaka Airport pasipo kusimama popoteHaya mawazo mazuri sana. Nimeshuhudia Malaysia na Singapore mfumo wa barabara hizi. Nadhani kwetu hapa kama sijakosea ina apply kwa daraja la Nyerere lile Kigamboni ambalo mwekezaji ni NSSF.
Hii mifumo inaiwezesha nchi kuepukana na mikopo kutoka mabenki ya nje, hivyo basi kujielekeza vyanzo vyake cha fedha katika kuimarisha huduma za jamii zingine kama afya, elimu nk
Hata China wana road toll. Ni kitu cha kawaida mno mijini.Kitu ambacho huelewi huwa hovyo kwa mliozoea na kuzikubali foleni za Dar.
Nimekuta hizo expressways za road tolls Marekani naTokyo.
Tembea uone kuondoa ushamba!
Mkuu hizo sehemu si za kusukuma guta au kupanga nyanya na mitumba.
Sehemu yako ya mtaa wa Kongo bado itakuwepo.
Acha ushamba!Ondoa upuuzi wako, nchi ilivyo na kodi kama vile sisi sio raia, halafu bado waongeze mengine ya kutozana "TOLL" kupita barabarani. Nyie ndio wale itafikia hatua mtaomba hata mtu akijamba atozwe ushuru.
Waambie washushe kwanza bei ya "SUKARI" kama wanaweza.
Usitutafutie ban.
Mkuu wengi humu ambao hawana exposure ya kusafiri nje wanafikiri hii kitu hakuna duniani.Hata China wana road toll. Ni kitu cha kawaida mno mijini.
Haya mawazo mazuri sana. Nimeshuhudia Malaysia na Singapore mfumo wa barabara hizi. Nadhani kwetu hapa kama sijakosea ina apply kwa daraja la Nyerere lile Kigamboni ambalo mwekezaji ni NSSF.
Hii mifumo inaiwezesha nchi kuepukana na mikopo kutoka mabenki ya nje, hivyo basi kujielekeza vyanzo vyake cha fedha katika kuimarisha huduma za jamii zingine kama afya, elimu nk
Wewe unachokitaka ni hiyo toll au ni barabara? Sababu ushamba mwingine niliojua unao ni ile hali ya kutaka ulichokiona mahali kifanyike Tanzania bila mantikiMkuu wengi humu ambao hawana exposure ya kusafiri nje wanafikiri hii kitu hakuna duniani.
Nchi zinazotaka kuondoa road traffic huu ni utaratibu wa kawaida kabisa.