Tuhurumiane,mizinga inaumiza sana

Tuhurumiane,mizinga inaumiza sana

Safi tu ndugu...mizinga
imezidi jamani...lol...mtu anaweza kukudai vitz at!!!papuchi zinatutesa
jamani!!

people are to be loved while materials(money included) are to be used,so if u "use" her she will automatically "love" ur materials
 
Anyways sidhani kama ni mzinga namna unavyoisema. Mimi mke wangu yani anachotaka kizuri kuliko vyote lazima apate ILA tu nikiwa na uwezo katika kipindi hicho na sichukulii kama mzinga.

Nikiwa sina pesa anatambua na anakuwa mvumilivu. Embu ondoa hiyo mentality kidogo!
 
Back
Top Bottom