Tuhurumiane,mizinga inaumiza sana

Tuhurumiane,mizinga inaumiza sana

dogojanja 87

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
882
Reaction score
213
"Mapenzi ya siku hizi yameharibiwa na Mizinga,watu hawako Sure kama mpenzi wake ni Wife Material au Gold digger maana mnatugeuza sie Wazazi wenu...Vocha sisi,Shopping Sisi,na mawigi yenu ya laki 2,yesu na maria tutajenga kweli jamani nyie wamama tuoneeni huruma!Hujakaa sawa mwiba wa kulipia Dressing table.Tusipotoa mnas...ema tunawatumia,tunawat...umia vipi na raha tunapata wote jamani,wewe hata kunipa pipi ya Ivory hujawahi,mapenzi gani haya??
Inakuwa ngumu sana kupenda siku hizi maana tunaanza kuhisi kila mtu ni Mizinga Material,hata hamjui tunalipwa shilingi ngapi na waajiri wetu,mkiona tunavaa tai mnajua sie vibopa,hatuna kituuu,nyie mnaandika tu Invoice tena uso mkavu kama nguru,naomba laki 5 ya Blackberry wakati we mwenyewe babako ana nokia tochi ya muda mrefu hadi button zina mimba,Muogopeni Mungu nyie watoto,aliyewaambia bila blackberry maisha hayaendi nani??Mama Zenu wangependa Blackberry baba zenu wasingewasomesha nyie" source:facebook wall ya mshikaji
 
kweli mkuu mwisho wa cku mtu huolewi coz watoaji sio waowaji unahaza kuangaika kwa waganga unataka kuolewa
 
Mbona nyie ni vigeugeu? Si ndio nyie mnataka kupigwa mizinga ili mpate akili ya kutafuta?
Btw nasikia 30+ huwa awapigi mizinga hebukajaribu bahati yako

hahaaa wametoka kusema mizinga ni mizuri inamfanya mtu kuwa mchakarikaji,sasa hivi mizinga mibaya
chagueni moja tuwaelewe.

ambao hawapendi mizinga kuna wanawake wa 30's nasikia wao mapenzi mbele pesa baadae
wanaohisi mizinga inakufanya uwe mchakarikaji kuna wakina 20's they are very good in mizinga thing.
 
"Mapenzi ya siku hizi
yameharibiwa na Mizinga,watu hawako Sure kama mpenzi wake ni Wife
Material au Gold digger maana mnatugeuza sie Wazazi wenu...Vocha
sisi,Shopping Sisi,na mawigi yenu ya laki 2,yesu na maria tutajenga
kweli jamani nyie wamama tuoneeni huruma!Hujakaa sawa mwiba wa kulipia
Dressing table.Tusipotoa mnas...ema tunawatumia,tunawat...umia vipi na
raha tunapata wote jamani,wewe hata kunipa pipi ya Ivory
hujawahi,mapenzi gani haya??
Inakuwa ngumu sana kupenda siku hizi maana tunaanza kuhisi kila mtu ni
Mizinga Material,hata hamjui tunalipwa shilingi ngapi na waajiri
wetu,mkiona tunavaa tai mnajua sie vibopa,hatuna kituuu,nyie mnaandika
tu Invoice tena uso mkavu kama nguru,naomba laki 5 ya Blackberry wakati
we mwenyewe babako ana nokia tochi ya muda mrefu hadi button zina
mimba,Muogopeni Mungu nyie watoto,aliyewaambia bila blackberry maisha
hayaendi nani??Mama Zenu wangependa Blackberry baba zenu
wasingewasomesha nyie" source:facebook wall ya
mshikaji
hii kali,sijui huwa mnakutana wapi na hao watu,dah!mi hata siwez kumgeuza mtu ATM,akijiskia atoe mwenyewe
 
hahaaa wametoka kusema mizinga ni mizuri inamfanya mtu kuwa mchakarikaji,sasa hivi mizinga mibaya
chagueni moja tuwaelewe.

ambao hawapendi mizinga kuna wanawake wa 30's nasikia wao mapenzi mbele pesa baadae
wanaohisi mizinga inakufanya uwe mchakarikaji kuna wakina 20's they are very good in mizinga thing.

hahahaaa... Umeonaee hapa itabidi wajigawe, wanaopenda mizinga waende kwa 20s na wasiopenda mizinga waende kwa 30s.
 
hii kali,sijui huwa mnakutana wapi na hao watu,dah!mi hata siwez kumgeuza mtu ATM,akijiskia atoe mwenyewe

Tafadhwali niruhusu niku'PM.....wapo wengi sana wa mizinga !!
 
ambao hawapendi mizinga kuna wanawake wa 30's nasikia wao mapenzi mbele pesa baadae
wanaohisi mizinga inakufanya uwe mchakarikaji kuna wakina 20's they are very good in mizinga thing.

Smile upo group gani hapa!??

hii kali,sijui huwa mnakutana wapi na hao watu,dah!mi hata siwez kumgeuza mtu ATM,akijiskia atoe mwenyewe
afrique, alafu upo Mwanza...wale waliopo karibu ndo hawa kina Smile..over 30 lakini full mizinga!!!!!:disapointed::disapointed::disapointed:
 
Last edited by a moderator:
hahahhah kanifrahisha mpka anatia huruma mmmh we muoga wa miznga wakati wengne ucpo wapiga nayo wanahic kuna mtu anmsaidia kulea acha uchagga wajamen
 
Acha kutumia jina la Yesu kwenye biashara zako zakununua mahaba. Hili ni jina lenye heshima kuliko majina yote so usilitumie kwa mambo ya mzaha!

"Mapenzi ya siku hizi yameharibiwa na Mizinga,watu hawako Sure kama mpenzi wake ni Wife Material au Gold digger maana mnatugeuza sie Wazazi wenu...Vocha sisi,Shopping Sisi,na mawigi yenu ya laki 2,yesu na maria tutajenga kweli jamani nyie wamama tuoneeni huruma!Hujakaa sawa mwiba wa kulipia Dressing table.Tusipotoa mnas...ema tunawatumia,tunawat...umia vipi na raha tunapata wote jamani,wewe hata kunipa pipi ya Ivory hujawahi,mapenzi gani haya??
Inakuwa ngumu sana kupenda siku hizi maana tunaanza kuhisi kila mtu ni Mizinga Material,hata hamjui tunalipwa shilingi ngapi na waajiri wetu,mkiona tunavaa tai mnajua sie vibopa,hatuna kituuu,nyie mnaandika tu Invoice tena uso mkavu kama nguru,naomba laki 5 ya Blackberry wakati we mwenyewe babako ana nokia tochi ya muda mrefu hadi button zina mimba,Muogopeni Mungu nyie watoto,aliyewaambia bila blackberry maisha hayaendi nani??Mama Zenu wangependa Blackberry baba zenu wasingewasomesha nyie" source:facebook wall ya mshikaji
 
[MENTION=48795Smile[/MENTION]
upo group gani hapa!??

ION=90570]afrique[/MENTION], alafu upo Mwanza...wale waliopo
karibu ndo hawa kina Smile..over 30 lakini full
mizinga!!!!!:disapointed::disapointed::disapointed:
Mentor!!!pole sana dearest
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom