Tuhuma za uongo kuhusu ndugu yangu

Tuhuma za uongo kuhusu ndugu yangu

maatope

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2013
Posts
1,422
Reaction score
957
Leo imewekwa post ya kizandiki na mbaya zaidi mleta post kaweka namba ya simu nja kudai huyo mtu anamwaga pesa kuhonga kwa ajili ya Lowassa.kweli jamii forums imekuwa hivyo sasa? namba za simu?????MODS piga ban huyu mtu anajiita Naface naomba nikopi alichoandika(nime edit namba ya simu)

MABILIONI HAYA ANAYOMWAGA LOWASSA HAPA DODOMA TAKUKURU MKO WAPI?
Wakuu Dodoma sasa inatisha Wallahi naapa tangu nizaliwe sijawahi kuona mabilioni ya pesa yakimwagwa kama njugu katika Mji huu wa Dodoma.
Leo nimemshuhudi Mpambe wa Lowassa hapa Rainbow pub Dodoma akigawa mabulungutu ya elfu kumi kumi kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu walioanza kuwasili Mjini hapa.
Huyu Bwana anaitwa Kivuyo almaarufu kwa jina la Baba T. Zamani alikuwa mfanyakazi wa Vodacom. Jamaa ni mpambe wa kutupwa wa Lowassa ndiye aliyepewa jukumu la kumwaga mabulungutu kwa Wajumbe ili kuhakikisha Mzee Lowassa anakamata Ikulu ya Magogoni.
Katika jukumu hilo la kumwaga rushwa, ndugu Kivuyo anasaidiwa kwa karibu na mdada aitwaye Esther Boniface Moshi mwenye simu namba 06****** ambaye anaishi Tabata Jijini Dar es Salaam. Jamani jamaa wana hela chafu hawa sijui wanazitoa wapi katika uchumi huu mbovu wa Kibongobongo.
Ntaendelea kuwajuza bila chenga kwa sababu nipo karibu na watu hawa na wananiamini sana,ila kwa maslahi ya taifa letu kamwe sitanunulika.
 
Mm nilidhani umekuja na ushahidi usio na shaka ndani yake ili kukanusha habari iliyotolewa kumbe umekuja kulialia tu,Pole sana bwana Kivuyo watu wamekuona na wanaendelea kukufuatilia kama bwana Naface alivyodai yy hanunuliki.Tunaendelea kusubiri Updates za bwana Naface kujua kinachoendelea!
 
Mm nilidhani umekuja na ushahidi usio na shaka ndani yake ili kukanusha habari iliyotolewa kumbe umekuja kulialia tu,Pole sana bwana Kivuyo watu wamekuona na wanaendelea kukufuatilia kama bwana Naface alivyodai yy hanunuliki.Tunaendelea kusubiri Updates za bwana Naface kujua kinachoendelea!


kuniona wapi tena we kilaza,muambie huyo NaFACE aje na ushahidi wa kueleweka,mbona mnakuwa wajinga??/mnaweka namba za simu za watu hovyohovyo..
 
Mwambie ndugu yako ''Ikulu ni mahali patakatifu''
sio pakununua kwa pesa za walala hoi,
 
kuniona wapi tena we kilaza,muambie huyo NaFACE aje na ushahidi wa kueleweka,mbona mnakuwa wajinga??/mnaweka namba za simu za watu hovyohovyo..pumbavuuuuu

Jibu kwa hoja usipaniki,matusi ya nini mkuu?.Jieleze vizuri ueleweke ukitukana Unayemtukana atachukua pointi na atakushinda.
 
Mwambie ndugu yako aje mwenyewe akanushe hapa,kwanini unamsemelezea? Ni marehemu?
 
Wabongo baaana hawana jeemaaa... hela za dowans nk mlisema nanyi mgawiwee leo mkigawiwa mnalialia sasa mfanywejeee.
Kivuyoo... Ester... tupo pa1 mzee akiptishwa kura yangu hiyooo na asipoptshwa sipgiii
 
kuniona wapi tena we kilaza,muambie huyo NaFACE aje na ushahidi wa kueleweka,mbona mnakuwa wajinga??/mnaweka namba za simu za watu hovyohovyo..

Kweli ww ni MAATOPE,naona jina linasadifu kilichomo ndani ya Ubongo enewei samahan kwa kutokukujua mwanzo ila sasa nimeshakusoma endelea kuwa toilet paper
 
Back
Top Bottom