Tuhuma Vs Amani

kwasas hujaona utekaj ?, ufisad ? Uvunjaj wa katiba ? mauaji ? uchafuz wa uchaguz ?
Hv kama mtu umechaguliwa kwa 98% kwann influence hiyo usiitumie kuwaelimisha raia wanaokupenda ili diaspora wasidanganye umma ?
 
Wenye serikali yao wanakusikia,mie natoa mchango wangu kwenye kupambania amani yetu iwepo

Mengine ni majukumu au wajibu wa serikali
nan mwenye serikal zaid ya mwananch w wa kawaida ambae kapigwa shaba trh 29 akiwa ndan mwake
 
Kwahiyo huko kwenu ndio unategemea kwa kujenga hoja. Mmefilisika sana
 
PUMBAVU
Funguka akili yako na uzungumzie mambo katika pande mbili,uovu ni uovu tu hata kama kila awamu itafanya.
 
 
Kuwa Muslim ni mtihani kwa tz

wengi wetu tuna elimu ya madrasa tu
Huwa haikupendezi hadi uhusishe udini. Munadanganywa madhabahuni na munashindwa hata kutumia akili ya kuzaliwa! Hivi kama kweli umesoma, kwani haionekani kuwa hivyo, tuambie shule ya msingi hukusoma na hao wenye elimu ya madrasa? Ikiwa ulisoma ni wangapi walikuwa mbele yako? Jee sekondari? Vipi chuo?

Usiwe mjinga kupita kiasi. Hao wanaokuambia wamesoma na wenye elimu ya madrasa na wanawatambua kuwa wanajua. Wanakuzuzua wewe kichwa maji, usiyejijua. Akili ya kuambiwa ongeza na yako.

Ni mimi mwenye elimu ya madrasa mwanzo mwisho. Karibu sana.
 
Wewe uko upande wa yule shekhe aliyesema watu wachinjwe?akasema heti ni msimamo wa waislam!we ujaona mpuuzi kama yule kuwa wanatuchafua waislam?
 
Wewe uko upande wa yule shekhe aliyesema watu wachinjwe?akasema heti ni msimamo wa waislam!we ujaona mpuuzi kama yule kuwa wanatuchafua waislam?
Nazungumza ulichoandika na sijamhusisha mtu mwingine. Ingekuwa vizuri ukajibu yale maswali niliyokuuliza baadae ukatafakari niliyoandika. Kama unadhani watu hawajui ( ni wajinga) umechelewa sana na kama unadhani unajua sana imechelewa sana. Sisi wenye elimu ya madrasa tumefundishwa kwamba ni hakika kila mwenye elimu juu yake kuna mwenye elimu (Quran 12: 76). Hivyo huwa hatujigambi.
 
Kwa hiyo tufurahie tu kigogo mmoja au mtoto wa kigogo ajichotee Kodi yetu kununua midege yake binafsi au magari ya bei mbaya, wakati pesa hiyo ingetumika kutupatia: maji, dawa ...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…