siku akipata ajari akavunjika miguu ndo atagundua umuhimu wa MKE mana ktk haya maisha hasa sisi wa maisha ya kati kati ukipatwa na majnga km haya hata km unapesa lkn kuna mambo mengne lzm akufnyie MKEO
sema watu wanajisahau tu
ila ni maisha yake aloamua lkn inauma sana kuona best yako ambaye unajua alipotoka ingawa sasa hv huwezi jua anachowaza lkn kutokana na mwenendo wake mbovu wa maisha unaweza kihisi wapi anaelekea hsa ukihisi anaelekea shimoni tena la kina kirefu mbele giza totolo lzma uumie pole sana mkuu
usichoke kumlingania jtahidi hvyo hvyo ipo siku atabadilika