THERE IS NO MORAL POLICEHuwezi kumpeleka mtu polisi kwa sababu hajaheshimu mila yako.
Mfano ulio hai watoto wangu mimi binafsi wanakwenda skuli na chuoni huwa wanapewa fursa warudi myumbani kula kisha warudi tena skuli au chuoni kuendelea na vipindi, mwanangu mmoja anakwenda nyumbani kula na kurudi skuli mtoto mmoja haendi anaona aibu kuwa ataitwa KOBE (jina la utani kwa mtoto asiyefunga) jaribu kufikiria mtoto wa miaka 7 anaona aibu kugundulika kuwa hakufunga anahiyari abakie skuli asirudi nyumbani kula kwa kuchelea asijulikane kuwa ni kobe!
Kabisa, hakuna KULAZIMISHANA WEWE FUNGA NIACHE MIMI NINYWE KONYAGI YANGU NDOGO.Dawa ya hayo yote ni kuvumiliana tu
Shida ya wafuasi wa alla akili zao ndogo zana na zimetawaliwa na ujinga🔹 Muda mrefu unaandika maujinga acha ujinga na upuuzi wewe
🔹 Kwa hiyo ni haki wahindi wanavyoua waislamu kule India kwa sababu Mila zao destiri na mautopolo yote kama mlionayo Zanzibar kwao ni dini na Mila za Kihindu ?...
Zanzibar ni ya Wazanzibari wa Tanganyika acheni kujitoa ufahamuMila zipo ni kawaida, lakini uwepo wa mila, desturi, na tamaduni zako, jitahidi zisiingilie uhuru wa wengine, kwasababu hata wale ambao mila zako zinaingilia uhuru wao, nao pia wana mila, desturi, na tamaduni zao.
Dawa ya hayo yote ni kuvumiliana tu, sio kuleteana ubabe kukamatana na kupelekana polisi. Zanzibar ni ya wote, wenye asili, rangi, imani tofauti, sio ya kikundi fulani cha imani moja peke yao.