Tuhadithie siku ambayo uliumbuka kwenye game.

Tuhadithie siku ambayo uliumbuka kwenye game.

Hiyo yenyewe aibu tosha nilimtelekeza geto si unajua uoga wa ki-teenager?shangazi ndo alimtoa room asubuhi me nililala kwa mchizi.
Mimi ningekuwa ndiyo wewe, ningejiona ni shujaa, nisingejishtukia wala nini. Kwanza shangazi angenisifu.
Labda uliona soo kwa sababu ya ugonjwa wake wa kifafa.
 
imebidi nije na ID tofauti kabisa kuficha aibu aise
mimi kwa mara ya kwanza nilipiga mzigo bhana kumwaga tuu c mzigo ukalala nilijua nimepata ulemavu kabisa na kujisepea nikilia baadae nashangaa mjama anarudi kwenye msimamo wake aise nilichukua muda sana mpaka kufarijiwa kuwa ni kawaida

Hakika hii ni aibu ya flyovers
 
Mwanaume kuaibika wakati wa tendo la ndoa ni kawaida, kila mwanaume aliyekamilika lazima aibike katika maisha yake kwenye tendo la ndoa, kila mwanaume ameshawahi kuaibika kunako 6x6, wengi wanajikaza kisabuni tu wanaogopa kusema.
Kwa bahati mbaya vijana wengi wakati wa kukua kuelekea utu uzima, mabadiliko ya sehemu za siri tunayachukulia kama kilema au udhaifu, kumbe ndiyo tunaelekea kwenye ukamilifu wenyewe.
inabidi iwe siri tyuu ya kitanda
 
inabidi iwe siri tyuu ya kitanda
Mikasa ya kumshindwa mwanamke inaelezeka, ila kwa wanaume wenzako ambao mpo katika nia ya kupeana elimu ya jando.
Kwa wanaume wenzako ni kawaida kupeana stori kama hizi ili kujua kumbe duniani kuna mengi.
 
Nilikuwa naishabikia Barcelona alikuwa anacheza na Levante mara paaaap akina Messi si wakapigwa 5-4 dah sitosahau
 
Demu alipata kifafa katikati ya game...nikashangaa mara anang'ang'ania shuka,mara ananikaba...basi mimi ndo kubadili mapigo sasa!nikaja kushtuka ananing'ata sikio!nikasema yes utamu njoo.Mara akaanza kutoa muungurumo kama nguruwe huku amekodoa macho na meno kayabana!hapo ndo nikajua mapenzi hamna pale...chumba kilikuwa kidogo ghafla.
Hahaaa haaa daaahh mtakuja kugonga machizi mamaee
 
Hiyo namba Moja" ilishawahi kunitokea namimi ",.... Yaani hivyo hivyo Kama wewe mtoa Mada"... ila mimi location ilikuwa Kwenye Migomba Kichochoroni".... demu alipoona nachelewa kuweka bombardier " Akazuga kwa kuniambia Watu " hao" ile nilipogeuka nyuma tu"... Akachomoa Machine Nakukimbia mbio"..... Aisee nilim mind
 
😳😳😳😳😳wachache sana watakuwa wakweliiiii
nataka kushuhudia aliyeabika kwa kuitwa kibamiaa akijitokeza nampa pesaa
 
Itoshe tu kusema vijana muache nyeto[emoji30][emoji30][emoji30]...mwanzo nilikuwa bingwa wa kuumbuka saivi ni bingwa wa kukomoa
 
😳😳😳😳😳wachache sana watakuwa wakweliiiii
nataka kushuhudia aliyeabika kwa kuitwa kibamiaa akijitokeza nampa pesaa
17-Selfies-That-Went-To-The-EXTREME-4-e1512127706518.png
 
We ulikuwa mshamba tu
Wenzio game za kwanza tulishambulia goli balaa kama Liverpool!
 
Back
Top Bottom