jerrysonkiria
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 2,226
- 2,902
Mkia
Heshima kwako Kasinde.......Habari za usiku...
Katikati ya mapenzi ya sweet nothing, Kasie na mpenzi wake wakaanza kunong'onezana huku vicheko vikisindikiza hiyo sweet nothing words...
Minong'ono hiyo ilikuwa hivi;
Dadii: samaki ana vipande vingapi?
Kasie: vitatu
Dadii: hebu vitaje. ..
Kasie: kichwa, tumbo na mkia
Dadii: eehh?!! vitaje tena....
Kasie: kichwa, tumbo na mkia
Dadii: mi napenda mkia... chezesha
mkia...
Libeneke likaanza upya Kasie akichezesha mkia dadii akichezesha kichwa na tumbo hehehehe (najua kuna wataojaribu hili zoezi.....hehehee kila la kheri kwao)
Kwako msomaji wewe unapenda kipande kipi?
Kichwa?, tumbo? Au mkia?
Chezesha kile unapenda kwa starehe yako....
Alamsiki!!
Hahaha huyo huyoo looh
Kasi una vitu nadra wewee.
Maana nikikumbuka tokea enzi zako viCrush sijui viCrash, mara Dubai, mara sijui nini.
Kasi wewee, nimekuvulia Kofia.
Kwa kweli humu huna Mpinzani
Wacha wee.Hahahha jamani mbona Kasie ni mpole tuu bin mtaratibuu hehehehehehe
Usiseme sina mpinzani bana maana sifanyi mashindano ni matukio tuu yanayomkuta Kasie hahahahah.
Halafu kama umenivulia kofia mie nakupigia salute 😛
Wacha wee.
Sijamaanisha mashindano bana 🙂.
Yaani wewe vitu vinakuja vyenyewe, Adimu, na wala hulazimishi.
Kama ni msakata kabumbu kipindi hiki tulichomo, basi wewe ni LIONEL MESSI (10).
Sasa hebu niambie, MESSI anafanya mashindano?
Jibu, hapana. Ni uwezo binafsi
Thanks Kasi.Hhahahahaaaa I love your philosophy. Thanks and am humbled 🙂😉🙂
Nisamehe Kasie, 🙂.Ila..... jina langu ni Kasie. .... hilo unalolitaja kwa msisitizo wa ku bold ni mwendo kasi looh!!
Chautundu na cha uchokozi mzima weye? Haya endelea na fujo zako zinahamisha fikra na kupeleka mbali
Kwa uchokozi wako acha kwenda mbali hata nikipotea kabisa sijali.Sijambo kabisa sijui wewe...
Mbona siku hizi nimekuwa mpole kabisa jamani, nimeacha utundu na uchokozi kabisa hehehee. Usiende mbali sana utapotea.
Nakuelewa vizuri sana Swahiba Kasie, wala sijatoka hata chembe nje ya Mpaka 🙂.Jamani waala hujakosea kihivyo bana, usijali nilichukulia kama utani tuu.
Karibuu.