Tugawane Samaki....

Haiyee univwira, kokoo ako akuinga notsi unipe. Nkija kwa boma lako univoa weeh hahahahah.
Ila kwakuwa kokoo ako atakuwepo naja.
Koko angu Hethiwaaa

Ehuko Huko Ndorwe

Mi niko mwenye

Ndhoki Wee mwana
 
Umechagua fungu jema, kichwa kitamu achaa, ukipate cha kuchoma ama cha kuoka kwa mvuke ama cha kuchemsha chukuchuku ama cha kukaanga weeh utajikuta tuu mkia hautulii heheheheh
Cha kukaanga ndo chenyewe sasa kisha ulumagie na tuchachandu...aaah,utajikuta unakidonoa mpaka raha..
 
Kitu kichwa bana,hasa kiwe cha motomoto kilichokaangwa utie chumvi na ndimu yako na pilipili kwa mbaaali... Tena ukile kwa nafasi[emoji108]

Cc; Kiranga
 
Lugha ya mwandishi imeenda shule ngoja kwanza niendelee kuusoma mchezo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…