Tugawane Samaki....

Wapo. Walioshindwa kurudi makwao.

Duuh kuja nataka kulowea naogopa.... ila naamini nna nguvu za kuhamisha mlima hivyo naweza rudi na msukuma wa Kahama huku kwetu huko tukawa tunarudi likizo. ...😉
 
Wala ctasahau ... na kichwa ntakubakizia

Ndo ugonjwa wangu huo mie nipe kichwa tuu basi mkia wote utaupeleka utakavyo, napendaga ile ya kujipimia kwa starehe zangu hehehehe
 
Duuh kuja nataka kulowea naogopa.... ila naamini nna nguvu za kuhamisha mlima hivyo naweza rudi na msukuma wa Kahama huku kwetu huko tukawa tunarudi likizo. ...😉
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Wenye uzi wao watachukia! Usiogope KULOWEA. Kaburu kalowea SA. Mtumwa kalowea America. Muhindi kalowea Upanga na Kariakoo.
 
Hahahahaa mie ndo steringi mwenyewe hapa hakuna wa kuchukia.
Pamoja na woga lazima nije maana mchele wa Kahama mtamu balaa, mapishi yake sasa.... Kasie hoiii
 
Mm napemda kipande cha tumbo hakina nyama lakini ni kitamu kupita zote
 
Hahahahaa mie ndo steringi mwenyewe hapa hakuna wa kuchukia.
Pamoja na woga lazima nije maana mchele wa Kahama mtamu balaa, mapishi yake sasa.... Kasie hoiii
Huo mstari wa mwisho huo...! Hii kauli utaifuta baada ya kuuonja MCHELE NA MAPISHI YA KILOMBERO!
 
Wa mbeya mtamu zaidi hasa ukikipata na sehemu ya tumbo pale chini
 
Hakana nyama lakini katamu na ubwabwa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…