M mwl JF-Expert Member Joined May 25, 2011 Posts 1,101 Reaction score 914 Jun 6, 2011 #1 Wakuu, inatosha kusikia yaliyojiri tusitolewe nje ya mjadala moto uliopo, nao ni GAMBA LIMEVULIWA au ndio ngonjera zile zile za CCM kututoa huku kutupeleka kule. Kuna mwenye habari yeyote kuhusu vikao vya Msekwa na RACHEL atupashe.
Wakuu, inatosha kusikia yaliyojiri tusitolewe nje ya mjadala moto uliopo, nao ni GAMBA LIMEVULIWA au ndio ngonjera zile zile za CCM kututoa huku kutupeleka kule. Kuna mwenye habari yeyote kuhusu vikao vya Msekwa na RACHEL atupashe.